Omulasil
JF-Expert Member
- May 5, 2015
- 8,015
- 10,269
HahahahaaaHahaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahaaaHahaha
Labdà ndiye huyo aliyemwàmbia Erick K.Kwa maneno mengine, Askofu anatuthibitishia kwamba yaliyoandikwa katika kitabu cha Kabendera ni kweli kwani naye alipewa taarifa hizohizo ila hakuwahi kuzisema kokote.
Why today, after almost three years!Kazi ndio imeanza.
Za kutisha: Matendo aliyoambiwa yanafanyika nyuma ya pazia.Huyu Mtumishi wa Mungu aliyehai anasema taarifa zilimtisha na tena zikampa matumaini? How?
Nauliza hivi, Naye Askofu Mwamakula ni "Kitengo" ndani ya ngozi ya kondoo? ... u-classified info anaupata wapi? Awe wazi ili tumuongezee sifa ya ukitengo.
Namna gani?Kuna namna
The Lissu and Mbowe saga "caught" them off guard! Apparently, the saga was trailing Mbowe to the link of some party members whereabout !!! Therefore, to the rescue, Kabe has to bring in the spoiler!Why today, after almost three years!
Wewe ni nini ulisema Magufuri akiwa hai?Ukitaka kujua mtu muongo aliyekubuhu wana sifa moja za kufanana wawe maaskofu au yeyote utasikia marehemu aliniambia wakijua marehemu hawezi fufuka kujitetea au kusema muongo huyu Askofu
Askofu Mwamakula anaangukia kwenye hilo kundi la waongo wabobezi kwa nini hakusema hayo Magufuli akiwa hai?
Kuna kila dalili Lisu amefeli Uenyekiti 😂😂😂Haya yanasemwa mtendewa, litakuja jitu kukaza magego kwamba sio kweli.
Unamjua Askofu Desmond Tutu au shule ulikuwa unachoma wenzako na tunda za ubuyu?Hakuna mtumishi wa mambo ya kiroho halafu awe mwanasiasa . Hiyo ni hakuna. Kuwa mwanasiasa ni kuwa muongo muongp.
Kwa sasa aidha kambi Lisu au Mbowe. Unasimama wapi. Sioni cha maana
Sishangai kutofahamu maana hata JPM hakuwa na exposure ya kujua vingiHakuna mtumishi wa mambo ya kiroho halafu awe mwanasiasa . Hiyo ni hakuna. Kuwa mwanasiasa ni kuwa muongo muongp.
Kwa sasa aidha kambi Lisu au Mbowe. Unasimama wapi. Sioni cha maana
Nilikuwa napinga sana dhana ya Prof PLO Lumumba wa Kenya juu ya miradi ya " Religion Industry ". Nadhani ni muda muafaka kutafakari msimamo wangu juu ya hili.Nah umechelewa sana, ungekuwa na mashiko kama ungeyasema hayo mwanzo