Askofu Mwamakula: Siyo Sahihi TBC kurusha picha ya Mzee Wassira akiwa amesinzia kikaoni, TBC Wajieleze na kuomba radhi

Akibuka hapo anashuka kwa spidi ya 120 na Lissu wa CHADEMA!
 
Hapo anaandika notisi za kikao sio kwamba amellala ni aina tu ya pozi lake ukizingatia ana uzito mkubwa!!?
 
Tyson hakuwa amesinzia isipokuwa alifumba macho kuwaona wabaya wake maana akifumba macho ndio anaona vizuri.
Amekuwa akifanya hivyo bungeni tangu 2011
Alivuta madenda yaliyokuwa yakimtoka baada ya kukurpuka usingizini.
 
Hata huyo aliyesimama kalala...wamemwonea Wassira wa watu 🀣
 
Kama ni kweli, huo ni zaidi ya unafki 😁😁

Ujumbe sio TBC kuomba radhi Ila mteuliwa kusinzia kikaoni..
Mwamakula mitano tena🀣 hili dongo limekaa kisomi sana. Kwenye Negotiations skills tunaita "Constructive Rejection"
 
Kwani hii picha ni ya lini? Hapo inaonekana ni kikao cha ngazi ya kijiji. Na huyo hapo sio wasira ambaye ni makamu mwenyekiti. Ni wasira wa kipindi kileeeee cha Kikwete.

Hii picha ni ya kitambo kidogo. Wakati huo alikuwa akijiweza.
 
Mwamakula mitano tena🀣 hili dongo limekaa kisomi sana. Kwenye Negotiations skills tunaita "Constructive Rejection"
😁😁😁 maumivu ni yale yale lakini extro
 
Uhuru wa habari, Kuna nini?
 
Kwa hali hiyo huyu ana zaidi ya miaka 90
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…