Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Akibuka hapo anashuka kwa spidi ya 120 na Lissu wa CHADEMA!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo anaandika notisi za kikao sio kwamba amellala ni aina tu ya pozi lake ukizingatia ana uzito mkubwa!!?Askofu Mwamakula amesema mzee Wassira licha ya kuwa ni Makamu mwenyekiti wa CCM Lakini pia ni Kiongozi mstaafu wa serikali anayepaswa kuheshimiwa na Taasisi zote
Askofu Mwamakula amesema siyo sahihi TBC kurusha picha ya Mzee Wassira akiwa amesinzia kikaoni
TBC wanapaswa kujieleza na kuomba radhi, amesisitiza askofu Mwamakula Ukurasani X
Ahsanteni sana
Alivuta madenda yaliyokuwa yakimtoka baada ya kukurpuka usingizini.Tyson hakuwa amesinzia isipokuwa alifumba macho kuwaona wabaya wake maana akifumba macho ndio anaona vizuri.
Amekuwa akifanya hivyo bungeni tangu 2011
Ukimsoma kwa utulivu utagundua kwamba wewe ndio umekosea na huenda ukafuta hiHuyu askofu akili zimeisha asamehewe tuu
Hata huyo aliyesimama kalala...wamemwonea Wassira wa watu 🤣Askofu Mwamakula amesema mzee Wassira licha ya kuwa ni Makamu mwenyekiti wa CCM Lakini pia ni Kiongozi mstaafu wa serikali anayepaswa kuheshimiwa na Taasisi zote
Askofu Mwamakula amesema siyo sahihi TBC kurusha picha ya Mzee Wassira akiwa amesinzia kikaoni
TBC wanapaswa kujieleza na kuomba radhi, amesisitiza askofu Mwamakula Ukurasani X
Ahsanteni sana
Mwamakula mitano tena🤣 hili dongo limekaa kisomi sana. Kwenye Negotiations skills tunaita "Constructive Rejection"Kama ni kweli, huo ni zaidi ya unafki 😁😁
Ujumbe sio TBC kuomba radhi Ila mteuliwa kusinzia kikaoni..
Unaikumbuka Principle of Exluded middle 😂😂Mwamakula mitano tena🤣 hili dongo limekaa kisomi sana. Kwenye Negotiations skills tunaita "Constructive Rejection"
😁😁😁😁😁 Oya hatari sana ileUnaikumbuka Principle of Exluded middle 😂😂
Unaikumbuka Principle of Exluded middle 😂😂
Na hiyo picha sasa hao ni wamelala wotee 🤣😁😁😁😁😁 Oya hatari sana ile
Hakuna partially 🤣🤣🤣Its either black or white. Nothing should be in the middle.
😂😂😂😂😂Hakuna partially 🤣🤣🤣
😁😁😁 maumivu ni yale yale lakini extroMwamakula mitano tena🤣 hili dongo limekaa kisomi sana. Kwenye Negotiations skills tunaita "Constructive Rejection"
Uhuru wa habari, Kuna nini?Askofu Mwamakula amesema mzee Wassira licha ya kuwa ni Makamu mwenyekiti wa CCM Lakini pia ni Kiongozi mstaafu wa serikali anayepaswa kuheshimiwa na Taasisi zote
Askofu Mwamakula amesema siyo sahihi TBC kurusha picha ya Mzee Wassira akiwa amesinzia kikaoni
TBC wanapaswa kujieleza na kuomba radhi, amesisitiza askofu Mwamakula Ukurasani X
Ahsanteni sana
Kwa hali hiyo huyu ana zaidi ya miaka 90Hapo ndio wamejitahidi kabisa kutafuta angle ambayo kidogo ataonekana hajalala, anaonekana kama anaandika.
Wangetumia picha mjongeo, basi hakika ungeona udenda ukitoka huku ukisindikizwa na sauti maridhawa ya kukoroma.
Ni mzee wa miaka 80, mnatarajia nini zaidi ya yeye kulala, kutoa mashuzi na kusubiri malaika mtoa roho achukue amana yake.
🤣 🤣 🤣Kama ni kweli, huo ni zaidi ya unafki 😁😁
Ujumbe sio TBC kuomba radhi Ila mteuliwa kusinzia kikaoni..
Dawa nzuri siku zote huwa ni chungu😁😁😁 maumivu ni yale yale lakini extro