BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Mtu ye yote anayehangaika na mikakati ya kuweka wapiga kura hewa, kuandaa watoto na wasio na sifa za kupiga kura ili wapige kura, kuiba kura, kuongeza vituo hewa na kuongeza kura za ziada kwenye vituo, huyo atakuwa amekosa kibari kwa watu na Mungu!
Wananchi, madereva, wanafunzi, waalimu, polisi, na wanajeshi msishiriki mkakati wo wote wa uovu ili msiwe sehemu ya laana katika uso wa nchi! Wapo ambao Mungu ameanza kuwaumbua hata sasa, wasipoacha mipango yao miovu wataangamia kabisa (Zaburi 1:1-6)!
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Mkuu Emmaus Bandekile Mwamakula - Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania & Afrika Mashariki