imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Aliahidi pia Maendeleo hayana Vyama na akaahidi kuwa tusipompelekea Wabunge wake hatapeleka Maendeleo.JPM, aliisha ahidi uchaguzi huu utakuwa huru na wa haki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliahidi pia Maendeleo hayana Vyama na akaahidi kuwa tusipompelekea Wabunge wake hatapeleka Maendeleo.JPM, aliisha ahidi uchaguzi huu utakuwa huru na wa haki
Kiukweli mzee umebadilika Sana tofauti na Pascal yule aliyehudhuria press ya Mh na kuuliza swali. Kuna muda Hadi najiuliza niwewe kweli au Kuna mtu kakupora akaunti yako..??? Au umeahidiwa kuingia kwenye orodha ya nafasi za uteuzi..?? Maana pambio zako na makala zako Zina U-turn ya kiwango Cha lami.Amiri Jeshi Mkuu wetu, JPM, aliisha ahidi uchaguzi huu utakuwa huru na wa haki, akiahidi, anatekeleza, uchaguzi Mkuu huu utakuwa huru na wa haki
P
Shehe Ponda na askofu Mwamakula, wamemwaga nyuki misikitini na makanisani sasa hivi ni mwendo wa matamko tu si makanisani si misikitini, wametoka woote kuja kumtetea bwana yule!. Wapenda haki wanasemaViongozi wa dini wengine wote wameufyata!
Hakuna anayesikika kusisitiza kufanyika kwa haki na huru.
Wachache wamebaki kusema uwe wa amani amani.
Amani ni tunda la haki.
Haki ikiwepo automatically amani inakuwepo!
Tumuogope sana Mwenyezi Mungu kwa kutenda na kusimamamia Haki ktk mambo yote!
Mwanakondoo ameshinda. Tumfuate
Vote for Lissu
Vote for Chadema
Vote for ACT
HANA TOFAUTI NA NABII TITTOMtu ye yote anayehangaika na mikakati ya kuweka wapiga kura hewa, kuandaa watoto na wasio na sifa za kupiga kura ili wapige kura, kuiba kura, kuongeza vituo hewa na kuongeza kura za ziada kwenye vituo, huyo atakuwa amekosa kibari kwa watu na Mungu!
Wananchi, madereva, wanafunzi, waalimu, polisi, na wanajeshi msishiriki mkakati wo wote wa uovu ili msiwe sehemu ya laana katika uso wa nchi! Wapo ambao Mungu ameanza kuwaumbua hata sasa, wasipoacha mipango yao miovu wataangamia kabisa (Zaburi 1:1-6)!
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Mkuu Emmaus Bandekile Mwamakula - Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania & Afrika Mashariki
Wananchi, madereva, wanafunzi, waalimu, polisi, na wanajeshi msishiriki mkakati wo wote wa uovu ili msiwe sehemu ya laana katika uso wa nchi! Wapo ambao Mungu ameanza kuwaumbua hata sasa, wasipoacha mipango yao miovu wataangamia kabisa (Zaburi 1:1-6[emoji1536][emoji1534][emoji1548]Mtu ye yote anayehangaika na mikakati ya kuweka wapiga kura hewa, kuandaa watoto na wasio na sifa za kupiga kura ili wapige kura, kuiba kura, kuongeza vituo hewa na kuongeza kura za ziada kwenye vituo, huyo atakuwa amekosa kibari kwa watu na Mungu!
Wananchi, madereva, wanafunzi, waalimu, polisi, na wanajeshi msishiriki mkakati wo wote wa uovu ili msiwe sehemu ya laana katika uso wa nchi! Wapo ambao Mungu ameanza kuwaumbua hata sasa, wasipoacha mipango yao miovu wataangamia kabisa (Zaburi 1:1-6)!
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Mkuu Emmaus Bandekile Mwamakula - Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania & Afrika Mashariki
Wananchi, madereva, wanafunzi, waalimu, polisi, na wanajeshi msishiriki mkakati wo wote wa uovu ili msiwe sehemu ya laana katika uso wa nchi! Wapo ambao Mungu ameanza kuwaumbua hata sasa, wasipoacha mipango yao miovu wataangamia kabisa (Zaburi 1:1-6[emoji1536][emoji1534][emoji1548]