WATANZANIA HATUKO TAYALI NDOA ZA JINSIA MOJA ZIFUNGWE MAKANISANI ILITUPEWE MISAADA KUTOKA UGAIBUNI.Mtu ye yote anayehangaika na mikakati ya kuweka wapiga kura hewa, kuandaa watoto na wasio na sifa za kupiga kura ili wapige kura, kuiba kura, kuongeza vituo hewa na kuongeza kura za ziada kwenye vituo, huyo atakuwa amekosa kibari kwa watu na Mungu!
Wananchi, madereva, wanafunzi, waalimu, polisi, na wanajeshi msishiriki mkakati wo wote wa uovu ili msiwe sehemu ya laana katika uso wa nchi! Wapo ambao Mungu ameanza kuwaumbua hata sasa, wasipoacha mipango yao miovu wataangamia kabisa (Zaburi 1:1-6)!
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Mkuu Emmaus Bandekile Mwamakula - Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania & Afrika Mashariki
Pale watawala wanapotambua kuwa wamekataliwa na hawakubaliki tena mbele za wapigakura, ndipo mipango na mikakati hiyo miovu hufanyika. Kila wakijifanyia tathimini wao wenyewe hujikuta hawana kitu chochote chenye kuweza kuwashawishii.Mtu ye yote anayehangaika na mikakati ya kuweka wapiga kura hewa, kuandaa watoto na wasio na sifa za kupiga kura ili wapige kura, kuiba kura, kuongeza vituo hewa na kuongeza kura za ziada kwenye vituo, huyo atakuwa amekosa kibari kwa watu na Mungu!
Wananchi, madereva, wanafunzi, waalimu, polisi, na wanajeshi msishiriki mkakati wo wote wa uovu ili msiwe sehemu ya laana katika uso wa nchi! Wapo ambao Mungu ameanza kuwaumbua hata sasa, wasipoacha mipango yao miovu wataangamia kabisa (Zaburi 1:1-6)!
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Mkuu Emmaus Bandekile Mwamakula - Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania & Afrika Mashariki
Mnasahau mapema hivi!!!WATANZANIA HATUKO TAYALI NDOA ZA JINSIA MOJA ZIFUNGWE MAKANISANI ILITUPEWE MISAADA KUTOKA UGAIBUNI.
WATANZANIA HATUKO TAYALI NDOA ZA JINSIA MOJA ZIFUNGWE MAKANISANI ILITUPEWE MISAADA KUTOKA UGAIBUNI.
Sasa unasemaje! Umeisha fika barabarani? Au lini mnaenda barabarani!"Uchaguzi uwe wa haki na Huru"?
Mbona tayari umekwishaharibiwa toka mwanzo; maanake uchaguzi ni 'process' sio tendo moja tu la kupiga kura.
Uchaguzi umekwishaharibiwa toka watia nia wa upinzani walipokuwa wanaenguliwa kwa mizengwe tu; wakati Magufuli anapiga kampeni sehemu yoyote anapopita, wanaojikusanya kumsikiliza Tundu Lissu awape salamu tu wanapigwa mabomu.
Vyombo vya habari vinazuiwa visionyeshe mikutano ya mpinzani mkubwa, na anazuiwa na watu wa serikali asifikie sehemu anayotakiwa kwenda kufanya kampeni kirahisi.
Yote haya na mengi mengine yanayofanyika ni kuwanyima waTanzania kufanya uchaguzi wa haki na huru ili kupata viongozi wanaowataka wao.
Ngoja nipoteza dakika zangu mhimu kadhaa kukujibu wewe hata kama hustahili kujibiwa:Sasa unasemaje! Umeisha fika barabarani? Au lini mnaenda barabarani!
WATANZANIA HATUKO TAYALI NDOA ZA JINSIA MOJA ZIFUNGWE MAKANISANI ILITUPEWE MISAADA KUTOKA UGAIBUNI.
Kwani jambo gani linaloendelea sasa, na lipi litafanyika baadaye juu ya ushoga. Au unadhani akishinda Lissu, mabeberu watakuja kukuposa? Tulia tu wewe umemezeshwa sumu na maCiCiMizi. Huo ni ujinga tu. Mmekosa jambo la kumkosoa Lissu. Huyo wenu Mtanzania yoyote hata akiamshwa usingizini anaweza orodhesha maovu yake zaidi ya kumi. Tena ukihoji watu kumi, hoja zaidi ya tano zitafanana, ndiyo ujue kuwa hapakaziwi. Siyo hayo yenu yasiyo na kichwa wala mdomo. Subirini kura za kimbunga.WATANZANIA HATUKO TAYALI NDOA ZA JINSIA MOJA ZIFUNGWE MAKANISANI ILITUPEWE MISAADA KUTOKA UGAIBUNI.
SASA MBONA UNAWEWESEKA SAANA?? YAAANI TUTAWAGALAGAZA NYINYI NA HAO MABEBERU WENU. WAMEWNYIMA MISAADA MPAKA MKUBALI KUFUNGISHA NDOA ZA JINSIA MOJA. HAMIENI HUKOHUKO KWAO. HUKU KWETU HAMNA CHENU.Kwani jambo gani linaloendelea sasa, na lipi litafanyika baadaye juu ya ushoga. Au unadhani akishinda Lissu, mabeberu watakuja kukuposa? Tulia tu wewe umemezeshwa sumu na maCiCiMizi. Huo ni ujinga tu. Mmekosa jambo la kumkosoa Lissu. Huyo wenu Mtanzania yoyote hata akiamshwa usingizini anaweza orodhesha maovu yake zaidi ya kumi. Tena ukihoji watu kumi, hoja zaidi ya tano zitafanana, ndiyo ujue kuwa hapakaziwi. Siyo hayo yenu yasiyo na kichwa wala mdomo. Subirini kura za kimbunga.
HAKI GANI AMENYIMWA HUYU JAMAA?? MBONA ANAUHURU KAMA WOTE?
Maisha yanaenda kasi sana, toka Mayala kwetu njaa mpaka mpiga zumariAmiri Jeshi Mkuu wetu, JPM, aliisha ahidi uchaguzi huu utakuwa huru na wa haki, akiahidi, anatekeleza, uchaguzi Mkuu huu utakuwa huru na wa haki
P
Mkuu,asante kwa kupigilia msumariAibu Yenu!!!!
Hakuna namna Ccm wanashinda iyo wiki ijayo. Nasema tena hakunaaaaMtu ye yote anayehangaika na mikakati ya kuweka wapiga kura hewa, kuandaa watoto na wasio na sifa za kupiga kura ili wapige kura, kuiba kura, kuongeza vituo hewa na kuongeza kura za ziada kwenye vituo, huyo atakuwa amekosa kibari kwa watu na Mungu!