Askofu Mwamakula: Waraka wa Kichungaji kwa Rais Samia Baada ya Jeshi la Polisi Kuwapiga na Kuwaumiza Wapinzani Mbeya

Ahsante sana askofu kwa waraka uliondikwa vema sana na kwa lugha ya kisomi na heshima kubwa sana.
Umewasilisha vema na watakao soma watailewa vema sana.
Mwamakula siyo askofu. Ni tapeli tu
 
50% of the above tayari Dr Samia anapita mule mule.

Please be consistent
 
Mwamakula siyo askofu. Ni tapeli tu
Unakumbuka yule Kamanda aliyesema" Yule anayejiita Askofu tumemkamata" kilichomkuta unakijua? Na unajua yuko wapi sasa hivi?

Acheni kucheza na Watu wa Mungu.

Mwamakula sio Mwamposa wala Kuhani Mussa.

He is Real servant of God.
 
Jadili hoja mkuu, hayo ya kwake muachie apambane nayo
Ndio kinachonishangaza Stuxnet amekuwa compromised na ubaguzi kwa sababu anazozijua mwenyewe.

Nilitazamia kuona akionesha Kosa la Mwamakula kwenye Barua yake ama anasema ukweli au Uongo. Hicho sikioni kwa Stuxnet akijadili.
 
Hiki ndio kilinifanya sikurudi kanisani kuanzani 2016 hadi leo.
Makanisa mengi wanajali sadaka tu hawana habari na ustawi wa Watoa sadaka.

Tangu Kuumbwa Ulimwengi Dini na siasa havijawahi kukwepana.
 
Unakumbuka yule Kamanda aliyesema" Yule anayejiita Askofu tumemkamata" kilichomkuta unakijua? Na unajua yuko wapi sasa hivi?

Acheni kucheza na Watu wa Mungu.

Mwamakula sio Mwamposa wala Kuhani Mussa.

He is Real servant of God.
Thubutu!! Mwamakula mhuni fulani tu anayeshiba kwa kuvaa taji la uaskofu.
 
Nadhani wanajificha kwenye kivuli cha udini wakati ni wazi wana harakati mimi ningewaona wa maana kama wangetuma waraka kulaani matendo aliyofanyiwa yule mdada kwenye video na mauaji ya watoto ma albino ni wajibu wao kukemea mambo ya kimaadili na hata hili sawa lakini usiwe mwana Chadema na ukatumia dini kujifichia, mtu mkweli asiyeogopa i yule akatoka hadharani na kuweka anasimamia nini.
 
Aiseee. .... Tukishindwa kuwaheshimu wengine basi tujiheshimu sisi
Unamuheshimu vipi mtu kadukuzwa Mbeya kwa kufisadi sadaka za madhabahu? Yaani wewe ukona Mwamakula kavaa lile kofia na kanzu unadhani ni mtu wa maana?? Hamna kitu pale
 
Hii kazi inafanywa na Katoliki, Bagonza na Chadema tu.

Hizi ndio kategoli za kijamii zinajali wananchi.

The rest ni Sadaka tu na kuwaibia wajinga.
 
Weka location ya GPS tulione, hakuna haka ya kuja Karatu wakati technology ipo na inakupa kila kitu
Search mwenyewe Google kabisa LA Moravian LA uamsho Tanzania karatu
 
Unamuheshimu vipi mtu kadukuzwa Mbeya kwa kufisadi sadaka za madhabahu? Yaani wewe ukona Mwamakula kavaa lile kofia na kanzu unadhani ni mtu wa maana?? Hamna kitu pale
Unaweza andika vizuri. Kumwomba mtu akuandikie vizuri?
 
Miongon mwa vitu unavyotakiwa kuwa navyo kama mkuuu ni uwezo wa kutuliza fikra ktk Chaos,vurugu na presha za kila namna, hiyo sio excuse kama hana hayo mambo bora aseme wenye kuweza wampokee kijiti. Hizi kauli akiongea kiranja wa darasa hapana shaka, ila kwa nafas aliyopo kosa dogo lina athiri maisha mengi ya watu.

Sikiliza speech zake, chura kiziwi , kula kwa urefu wa kamba na aina ya mikataba inaongea wazi wazi, kuwa kuna jamboo.
 
J
Jibu hoja zake. You are a simple minded creature.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…