Askofu Mwamakula: Waraka wa Kichungaji kwa Rais Samia Baada ya Jeshi la Polisi Kuwapiga na Kuwaumiza Wapinzani Mbeya

Askofu Mwamakula: Waraka wa Kichungaji kwa Rais Samia Baada ya Jeshi la Polisi Kuwapiga na Kuwaumiza Wapinzani Mbeya

Sababu hizi hapa:-

1. Kuua wakosoaji kama kina Ben Saanane

2. Kumiliki kikundi cha Wasiojuolikana

3. kudhulumu watu haki ya kuchagua (serikali za mitaa+kuu)

4. Kubambikiza watu kesi za uhujumu uchumi na kuwanyang'anya fedha zao

5. Kuanzisha plea bargain ya uwongo na kujikudanyia fedha yeye binafsi na DPP Biswalo

6. Sakata la bishasra ya korosho

7. kuvunjia watu nyumba, kimara mbezi bila fidia

8. Bias na kutokuwa considerate sakata la vyeti feki bila kuwagusa akina Bashite na yeye mwenyewe na PhD yake

9. Kauli mbaya na kutweza utu wa watu in public

10. Kutoheshimu katiba iliyomleta madarakani

11. Mishandling ya Covid - hasa second wave

12. Rushwa kwenye siasa (ili watu waunge mkono juhudi)

13. Kuligeuza bunge na mahakama kuwa kama nguo yake

14. Propaganda kali, uwongo na brainwashing

15. Kuharibu private sector

16. Kukataa kuendeleza mchakato wa katiba wakati iikuwemo kwenye ilani ya CCM 2015

17. Kuua private sector

18. White elephant projects za Chato tena wakati mwingine kukiwa hakuna fully participation ya bunge

19. Kutoongeza nyongeza za mishahara na kutoa stahiki za wafanyakazi zilizoko kwa mujibu wa sheria

20. TRA kubambika watu kodi
50% of the above tayari Dr Samia anapita mule mule.

Please be consistent
 
Mwamakula siyo askofu. Ni tapeli tu
Unakumbuka yule Kamanda aliyesema" Yule anayejiita Askofu tumemkamata" kilichomkuta unakijua? Na unajua yuko wapi sasa hivi?

Acheni kucheza na Watu wa Mungu.

Mwamakula sio Mwamposa wala Kuhani Mussa.

He is Real servant of God.
 
Jadili hoja mkuu, hayo ya kwake muachie apambane nayo
Ndio kinachonishangaza Stuxnet amekuwa compromised na ubaguzi kwa sababu anazozijua mwenyewe.

Nilitazamia kuona akionesha Kosa la Mwamakula kwenye Barua yake ama anasema ukweli au Uongo. Hicho sikioni kwa Stuxnet akijadili.
 
Kama makanisa na miskikiti na jamii zingine za kidini zikikalia kimya mambo haya basi itakuwa ni wanafik kuhubiri habari njema bila kuwaonya viongozi hawa ambao UTU umewatoka..
Ni wakati sasa wao kusema ukweli mana watu wao wapo misikitini mwao kila uchwao..
Hiki ndio kilinifanya sikurudi kanisani kuanzani 2016 hadi leo.
Makanisa mengi wanajali sadaka tu hawana habari na ustawi wa Watoa sadaka.

Tangu Kuumbwa Ulimwengi Dini na siasa havijawahi kukwepana.
 
Unakumbuka yule Kamanda aliyesema" Yule anayejiita Askofu tumemkamata" kilichomkuta unakijua? Na unajua yuko wapi sasa hivi?

Acheni kucheza na Watu wa Mungu.

Mwamakula sio Mwamposa wala Kuhani Mussa.

He is Real servant of God.
Thubutu!! Mwamakula mhuni fulani tu anayeshiba kwa kuvaa taji la uaskofu.
 
Askofu akianza kuchanganya Siasa na Dini wazi wazi na kuanza kuingia vyama vya Siasa na kuingia katika maandamano na kutoa waraka kuchanganya siasa na dini, yaani ni Askofu hapo hapo ni mwanasiasa kwa uwazi kabisa, huyo sio Askofu tena, kwani kaanza kazi mpya ya siasa.

Askofu Mwamakula kaamua kufanya siasa, hivyo asijifanye ni Askofu, yeye ni mwanasiasa wa CHADEMA kama wengine tu, hivyo waraka wake hauna baraka za maaskofu wala sio waraka wa kiaskofu, ni politician tu kama wengine, aache kutumia kivuli cha kiaskofu kuandika waraka usio na mashiko
Nadhani wanajificha kwenye kivuli cha udini wakati ni wazi wana harakati mimi ningewaona wa maana kama wangetuma waraka kulaani matendo aliyofanyiwa yule mdada kwenye video na mauaji ya watoto ma albino ni wajibu wao kukemea mambo ya kimaadili na hata hili sawa lakini usiwe mwana Chadema na ukatumia dini kujifichia, mtu mkweli asiyeogopa i yule akatoka hadharani na kuweka anasimamia nini.
 
Aiseee. .... Tukishindwa kuwaheshimu wengine basi tujiheshimu sisi
Unamuheshimu vipi mtu kadukuzwa Mbeya kwa kufisadi sadaka za madhabahu? Yaani wewe ukona Mwamakula kavaa lile kofia na kanzu unadhani ni mtu wa maana?? Hamna kitu pale
 
Nadhani wanajificha kwenye kivuli cha udini wakati ni wazi wana harakati mimi ningewaona wa maana kama wangetuma waraka kulaani matendo aliyofanyiwa yule mdada kwenye video na mauaji ya watoto ma albino ni wajibu wao kukemea mambo ya kimaadili na hata hili sawa lakini usiwe mwana Chadema na ukatumia dini kujifichia, mtu mkweli asiyeogopa i yule akatoka hadharani na kuweka anasimamia nini.
Hii kazi inafanywa na Katoliki, Bagonza na Chadema tu.

Hizi ndio kategoli za kijamii zinajali wananchi.

The rest ni Sadaka tu na kuwaibia wajinga.
 
Weka location ya GPS tulione, hakuna haka ya kuja Karatu wakati technology ipo na inakupa kila kitu
Search mwenyewe Google kabisa LA Moravian LA uamsho Tanzania karatu
 
Unamuheshimu vipi mtu kadukuzwa Mbeya kwa kufisadi sadaka za madhabahu? Yaani wewe ukona Mwamakula kavaa lile kofia na kanzu unadhani ni mtu wa maana?? Hamna kitu pale
Unaweza andika vizuri. Kumwomba mtu akuandikie vizuri?
 
KUNA UWEZEKANO HIVI VYOMBO VINATEKELEZA MPANGO AGAINST RAISI ILI FULANI JAMBO LIWEZE KUTIMIA HALAFU SISI WANANCHI TUNASHINDWA KUSOMA HIZO CODES. UKIANGALIA VIZURI HUYU MKUU WETU HANA UTULIVU KABISA, NA MAMBO MENGI ANAYOFANYA TU. HUKU MARA ANAWATUMBUA WATU MARA ANAWARUDISHA WAKATI HILI TAIFA SASA HIVI LINA WATU WA KUTOSHA KUSHIKA WADHFA WOWOTE ILE. KITENDO CHA KUWATUMBUA VIONGOZI NA KUWARUDISHA TENA KATIKA NYADHFA ZAO KINALETA TAFSIRI KWAMBA AMESHINDWA KUSET STANDARD (miiko kanuni na taratibu) ZA KIUONGOZI KATIKA NCHI NA KUPELKEA KUWA TAIFA LISILOKUWA NA MWELEKEO.
Miongon mwa vitu unavyotakiwa kuwa navyo kama mkuuu ni uwezo wa kutuliza fikra ktk Chaos,vurugu na presha za kila namna, hiyo sio excuse kama hana hayo mambo bora aseme wenye kuweza wampokee kijiti. Hizi kauli akiongea kiranja wa darasa hapana shaka, ila kwa nafas aliyopo kosa dogo lina athiri maisha mengi ya watu.

Sikiliza speech zake, chura kiziwi , kula kwa urefu wa kamba na aina ya mikataba inaongea wazi wazi, kuwa kuna jamboo.
 
J
Mwamakula amepinda tu kama mateja yanayovuta unga. Yeye Hana kanisa wala waumini popote japo anaitwa Askofu wa Moravian Uamsho. Emmanuel Bandekile Mwamakula ni Tapeli tu kama tapeli yeyote unayomfahamu. Wenzie wa Moravian Mbeya walimtimua walipoona ni mdokozi wa sadaka
Jibu hoja zake. You are a simple minded creature.
 
Back
Top Bottom