Askofu Mwamalanga: Mbowe kubambikiwa kesi ya ugaidi ni kitendo cha kuibandika kinyesi Tanzania mbele ya Mataifa

ASKOFU MWAMALANGA ATUMA UJUMBE MZITO KUHUSU FREEMAN MBOWE!

"Mpendwa Askofu Mwamakula, nakutumia ujumbe huo ninataka usomwe na watu wote!

Kukamatwa kwa Mheshimiwa Freeman Mbowe na kubambikiwa Kesi ya Ugaidi ni kitendo cha kulibandika kinyesi Taifa la Tanzania mbele ya mataifa. Kwetu sote Watanzania, tunamuona Mbowe kuwa ni mtu mwadilifu miongoni mwa wanasiasa wa vyama vyote nchini. Hivyo, Mheshimwa Mbowe kupewa kesi ya Ugaidi ni kitendo cha aibu kwa Watanzania. Aliyepanga bandiko hilo bado hajafaulu. Lengo lake ni kuitia moto jamii ya Watanzania!

Ninawasihi Watanzania kumtegemea Mungu Mwenyezi mia kwa mia; nanyi mtaona haki yake itakavyoshuka haraka na kutuliza mioyo yetu! Msiogope wala msinung'unike, fanyeni sala na dua, adhabu zao ni sasa. Duniani kote, Mbowe anaheshimika kama mwanasiasa salama na safi. Msiogope! Tazama, mipango ya shetani juu ya nchi yetu haitafaulu. Ombeni rehema za Mungu Mwenyezi kila mtu mahali alipo. Yesu Kristo ni yote katika yote. Amini na Amina! Ujumbe huu usomwe na kila mtu

Ujumbe huu umetolewa nami Askofu William Mwamalanga kwenye Kongamano la Amani kwa Afrika linalofanyika Lusaka, Zambia na kushirikisha viongozi wa dini wa nchi za Maziwa Makuu kwa kuiombea Afrika. Ndipo Dkt. Wood Edwards kutoka Uingereza akaomba kuiombea Tanzania ili inusurike na dhambi ya uonevu unaoendelea nchini Tanzania.

Mimi Askofu William Mwamalanga nimeubariki ujumbe huu kwani ni ujumbe hakika wa Mungu Mwenyezi kwa Watanzania kwani vitendo vya kubambikia watu kesi vimeota mizizi nchini pamoja na kumwaga damu zisizo na hatia. Ole wao wafanyao ubambikiaji huo na ole wao wawatumao watu kufanya hayo!

Askofu William Mwamalanga - Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Maaskofu na Mashehe ya Kamati na Amani"
Ni ujumbe muafaka na adhimu.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
MTU GAIDI MNASEMA MNAPAKA TAIFA KINESI WAKATI MBOWE NDIYO KAICHAFUA TANZANIA KWA KUFANYA UGAIDI KUWENI NA AKILI MSIFIKIRIE KWA KUTUMIA MASABURI
Hata hapa ulipoandika umepaka kinyesi!! pananuka kishenzi hata wee unanuka kinyesi sasa.
 
GAIDI MBOWE ANANUKA KINYESI SASA HIVI HUKO MAGEREZA CHA KUJINYEA KWENYE NDOO NA CHA KUPAKULIWA NA MANYAPALA AISEE
 
Kule ni gerezani sasa ondoa mavi yako huku uraiani wewe popoma usiye na faida
 
ASKOFU MWAMALANGA ATUMA UJUMBE MZITO KUHUSU FREEMAN MBOWE!

"Mpendwa Askofu Mwamakula, nakutumia ujumbe huo ninataka usomwe na watu wote!

Kukamatwa kwa Mheshimiwa Freeman Mbowe na kubambikiwa Kesi ya Ugaidi ni kitendo cha kulibandika kinyesi Taifa la Tanzania mbele ya mataifa. Kwetu sote Watanzania, tunamuona Mbowe kuwa ni mtu mwadilifu miongoni mwa wanasiasa wa vyama vyote nchini. Hivyo, Mheshimwa Mbowe kupewa kesi ya Ugaidi ni kitendo cha aibu kwa Watanzania. Aliyepanga bandiko hilo bado hajafaulu. Lengo lake ni kuitia moto jamii ya Watanzania!

Ninawasihi Watanzania kumtegemea Mungu Mwenyezi mia kwa mia; nanyi mtaona haki yake itakavyoshuka haraka na kutuliza mioyo yetu! Msiogope wala msinung'unike, fanyeni sala na dua, adhabu zao ni sasa. Duniani kote, Mbowe anaheshimika kama mwanasiasa salama na safi. Msiogope! Tazama, mipango ya shetani juu ya nchi yetu haitafaulu. Ombeni rehema za Mungu Mwenyezi kila mtu mahali alipo. Yesu Kristo ni yote katika yote. Amini na Amina! Ujumbe huu usomwe na kila mtu

Ujumbe huu umetolewa nami Askofu William Mwamalanga kwenye Kongamano la Amani kwa Afrika linalofanyika Lusaka, Zambia na kushirikisha viongozi wa dini wa nchi za Maziwa Makuu kwa kuiombea Afrika. Ndipo Dkt. Wood Edwards kutoka Uingereza akaomba kuiombea Tanzania ili inusurike na dhambi ya uonevu unaoendelea nchini Tanzania.

Mimi Askofu William Mwamalanga nimeubariki ujumbe huu kwani ni ujumbe hakika wa Mungu Mwenyezi kwa Watanzania kwani vitendo vya kubambikia watu kesi vimeota mizizi nchini pamoja na kumwaga damu zisizo na hatia. Ole wao wafanyao ubambikiaji huo na ole wao wawatumao watu kufanya hayo!

Askofu William Mwamalanga - Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Maaskofu na Mashehe ya Kamati na Amani"
Jimama laendelea kuchuma mijilaana ya Mwendazake
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Kama inavyo semekana Mbowe alikuwa anaajiri/recruits askari na wanajeshi waasi kwa lengo la kuhujumu serikali na kuuwa viongozi wa serikali, basi kwakweli Mbowe alifika pabaya sana, siajabu ange ajiri hata wahamiaji haramu kwa lengo baya zaidi.
Matendo haya hayana tofauti na yale wanayo yafanya Bokoharam.
hata hivyo Jeshi la Polisi wakishirikiana na vyombo vyote vifanye upelelezi wa kina na kwa weledi wa viwango vya juu.
 
MTU GAIDI MNASEMA MNAPAKA TAIFA KINESI WAKATI MBOWE NDIYO KAICHAFUA TANZANIA KWA KUFANYA UGAIDI KUWENI NA AKILI MSIFIKIRIE KWA KUTUMIA MASABURI
Taja ugaidi wa mbowe na je ule wa polisi kumpiga lisu risasi tuuiteje?
 
Kama inavyo semekana Mbowe alikuwa anaajiri/recruits askari na wanajeshi waasi kwa lengo la kuhujumu serikali na kuuwa viongozi wa serikali, basi kwakweli Mbowe alifika pabaya sana, siajabu ange ajiri hata wahamiaji haramu kwa lengo baya zaidi.
Matendo haya hayana tofauti na yale wanayo yafanya Bokoharam.
hata hivyo Jeshi la Polisi wakishirikiana na vyombo vyote vifanye upelelezi wa kina na kwa weledi wa viwango vya juu.
Ila ipo siku mtachinjwa mchana kweupe uonevu mnaoufanya utawafikisha watu kwenye ukingo wa uvumilivu.
 
Hawa maaskofu na Chadema ni balaa, mbona wale masheikh wa uamsho hatukuona sana kutetewa kuwa wamebambikiwa ugaidi?
 
Back
Top Bottom