Askofu Mwanamapinduzi: Hezekia Wenje ndie alikuwa wakala wa Abdul kumpelekea rushwa Tundu Lissu nyumbani kwake

Haahaa makamu mwenyekiti mtarajiwa agent mkuu wa abdul
Haahaa makamu mwenyekiti mtarajiwa , kazi ipo, chezea pesa za ma Abdul wewe😂😂
 
Labda! Ila TAL AKATAE HELA?!
ANYWAY WANADAI BINADAMU ANAWEZA BADILISHA TABIA ZAKE KAMA KASHIBA!
 
Njaa haina baunsa...Adui muombee njaa atanyoosha mikono juu hata kama alikuwa shujaa....kuishi nje ya ubunge halafu hauna mzigo inahitaji ujasiri wa hatari sana....msigwa kinyambe alikuwa anavuta mzigo kutoka ccm hadi pale Musukuma alivyomuumbua(Dr Msukuma friji haligandishi ,chupa inaamka na chai).
 
Askofu ana cheo gani huko Chadema!
 
Ndio tatizo la wabongo akili ndogo
Nani kakulazimisha uyakubali maoni yangu
Hamjui nini maana ya kutoa maoni
Mnataka kusikia maoni yanayoendana na mawazo yenu
The best part is, if you don't know, now you know my opinion
Mkuu 'Teknocrat' mbona hueleweki sasa.
Kama wewe unaona maoni yako hayastahili kupingwa, inakuwaje nawe sasa ulalamikie ya hayo wanao kupinga? Huoni unajichanganya tu wewe mwenyewe.

Ukitaka maoni yako yasijibiwe usivyotaka, usiyaweke humu jukwaani; kaa nayo tu wewe mwenyewe. Hutasikia hata mmoja atakaye hangaika na wewe.
 
Nimeamini sasa kwamba Tanzania ukizungumza upinzani ni Chadema na sio vinginevyo,
 
Wenje si amesema atagombea u Makamu Mwenyekiti? Na inaelekea kuwa msimamo wake ni kuwa uchaguzi wa haki maana yake ni Lissu ashinde. Hii ni hatari sana maana anaweka mbegu za kukataa matokeo hapo baadae. Kwa kweli sio vizuri.

Amandla...
Naamini unaweza kuwa na maoni bora zaidi ya haya, mkuu 'Fundi'.

Nakumbuka majibishano yetu hivi karibuni. Sikupata muda wa kurudi tena kwako; lakini naona kumbe unao msimamo usio tetereka.
Kwa bahati mbaya, ni msimamo ulio na kasoro kubwa.
Tundu Lissu haja sema popote hayo maneno unayo dai wewe kayasema. Kwa nini uwe na shaka ya yeye kutojuwa maana ya "uchaguzi ulio haki"?
 
Mbona kabla hajachukua fomu hamkusema.Hapo ndio utajua hakuna jipya mtakaloleta
 
Ukimsikia askofu sijui, mchungaji sijui ktk siasa usimuamini kabisa, mfano mchungaji msigwa anaemuendesha Lissu kama drone
 
Lissu anafata nyayo za Nyerere tu hakuna kiongozi mwingine nchi hii mwenye ubavu wa kukataa rushwa kubwa zaidi ya Lissu na baba wa Taifa enzi zake!!
 
Ngoja tuendelee kula,nyama tutazikuta chini,tuwe na subra,lkn kuna lengo lakuchafuana tu.
 
Samia amemlea Abdul ki-mafia sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…