Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
angefafanua vizuri swali lake kama mshindi anayemmaanisha yeye anaweza kuwa hata wale wanaosapoti ushoga. analiongeleaje hilo yeye kama askofu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie nimelijibu mara kadhaa ila bado unakazania swali lijibiwe tu.Siyo jibu ninalotaka mm. Jibu swali la askofu Mwingira
Unanishambulia mie badala ya kuonesha kipi si sahihi kwenye maelezo yangu.Ndiyo uwezo wako kiakili ulipoishia au umeamua kujitoa ufahamu?
Kama haukuelewa swali ni busara kuomba ufafanuzi.
Nje ya mada: Wewe ni Sukuma gang?
Hao wote wale wale mkuu😂😂🤣🤣🤣kwani kuna mada ya ugoni hapa?
Gwajima alisema kwani yeye kumkuta na Mrembo kuna kosa gani?
KifoKwahiyo Lisu ameshinda nini wandugu? 🤔
Wachache sana watakuelewaJapo mi si mpinzani nikimwangalia Lisu kwa undani kuna mpango wa MUNGU jamaa amebeba kusudi la Mungu juu ya hii nchi
Hawa ndiyo viongozi wetu wa Dini.........
Yaani leo munamuona Askofu kakosea kuliko nyie mlikuwa mnashabikia mauaji enzi zile?Hivi huyo askofu amefikia umri wa Mzee Makamba? Ajitafakari!!
Endelea kudhani, ila nakuhakikishia hawezi kushinda kifo mda ukifika.Kifo nadhani
Wao wenyewe maneno yao hayasadifu matendo yaoWanawaonya muache maovu. Sasa mnabeza tena
Duh!Japo mi si mpinzani nikimwangalia Lisu kwa undani kuna mpango wa MUNGU jamaa amebeba kusudi la Mungu juu ya hii nchi
Mmoja alijua kuwa ushindani ni ktk siasa kama katiba ilivyokuwa inaruhusu, mwingine akabadili akaweka mashindano ya kutoana roho, mmoja akamiminiwa risasi kama mvua na Mungu akampa ushindi huyo aliyemiminiwa risasi, na leo hii yuoko hai. Aliyeamuru mauaji leo hii anajina la Marehemu na mbaya zaidi watu hawataki hata kumwita hayati.Kwani mashindano yalikuwa ya wizi wa kura au kufa na kupona? Maana alimpiga risasi kampiga risasi na Lissu hakujibu mashambulizi, alipoibiwa kura akataka kujibu mashambulizi(maandamano) ila majeshi yake yakamfelisha hayakutokea uwanja wa vita, basi Lissu akakimbia uwanja wa mapambano.
Askofu Mwingira alisema na yeye risasi zilimkosa kosa. Sas aunataka asemeje?Wao wenyewe maneno yao hayasadifu matendo yao