Ni kweli kila mtu atakufa, uthibitisho kwamba kifo cha mtu kilitokana na maombi ya watu ni pale anapokufa tena kiongozi na ukasikia watu anaowaongoza wa kila pande za nchi wakipata ahueni na zaidi wakitoka hadharani na kutoa ya moyoni. Je haujawasikia wakitiririka ktk vyombo vya habari wakisema kuwa sasa wanapumua si wa upinzani tu hata wale wa chama chake.
Ni lini kiongozi alifariki kukawa na watu kujitokeza hadharani hata viongozi wa dini kudai kwamba sasa wamepumua? Je kifo cha Nyerere, Mkapa, Sokonne, nk ukiwahi sikia?