Baada ya mmoja kubadili mashindano na kuwa mashindano ya silaha je, Lissu aliingia kwenye hayo mashindano na akapambana au yeye kamiminiwa tu risasi ambazo zimesabanisha apate ulemavu ila akaishia kumkimbia huyo aliyemshambulia?Mmoja alijua kuwa ushindani ni ktk siasa kama katiba ilivyokuwa inaruhusu, mwingine akabadili akaweka mashindano ya kutoana roho, mmoja akamiminiwa risasi kama mvua na Mungu akampa ushindi huyo aliyemiminiwa risasi, na leo hii yuoko hai. Aliyeamuru mauaji leo hii anajina la Marehemu na mbaya zaidi watu hawataki hata kumwita hayati.
Ndiyo maana mwingira anasema Mungu amempa ushindi Lissu maana aliyeacha mapambano ya kisiasa akakimbilia kutoa uhai wa wengine imelazimu Aondoke ili mapambano ya siasa yaendelee.Baada ya mmoja kubadili mashindano na kuwa mashindano ya silaha je, Lissu aliingia kwenye hayo mashindano na akapambana au yeye kamiminiwa tu risasi ambazo zimesabanisha apate ulemavu ila akaishia kumkimbia huyo aliyemshambulia?
Hakuna dalili sasa kwamba hicho ndio kilichofanya afariki, amekuja kufariki baada ya muda mrefu toka lifanyike hilo shambulizi kwa Lissu.Ndiyo maana mwingira anasema Mungu amempa ushindi Lissu maana aliyeacha mapambano ya kisiasa akakimbilia kutoa uhai wa wengine imelazimu Aondoke ili mapambano ya siasa yaendelee.
Muda wa Kazi ya Mungu siku zote uko sahihi, hauchelewi wala hakuwahi, ilimradi hitaji la watu wa Mungu limetimizwa.Hakuna dalili sasa kwamba hicho ndio kilichofanya afariki, amekuja kufariki baada ya muda mrefu toka lifanyike hilo shambulizi kwa Lissu.
Kuna kitu unakisahau ni kwamba kwanza kila mtu lazima atakufa, kwahiyo ukisema fulani kifo chake ni kwa sababu ya kitu fulani tuonyeshe basi dalili kwamba dalili hizi zinaonyesha kuwa kile kifo kilikuwa kwa sababu fulani kinyume na hivyo kifo ni jambo la kawaida kwa mwanadamu.Muda wa Kazi ya Mungu siku zote uko sahihi, hauchelewi wala hakuwahi, ilimradi hitaji la watu wa Mungu limetimizwa.
Ni kweli kila mtu atakufa, uthibitisho kwamba kifo cha mtu kilitokana na maombi ya watu ni pale anapokufa tena kiongozi na ukasikia watu anaowaongoza wa kila pande za nchi wakipata ahueni na zaidi wakitoka hadharani na kutoa ya moyoni. Je haujawasikia wakitiririka ktk vyombo vya habari wakisema kuwa sasa wanapumua si wa upinzani tu hata wale wa chama chake.Kuna kitu unakisahau ni kwamba kwanza kila mtu lazima atakufa, kwahiyo ukisema fulani kifo chake ni kwa sababu ya kitu fulani tuonyeshe basi dalili kwamba dalili hizi zinaonyesha kuwa kile kifo kilikuwa kwa sababu fulani kinyume na hivyo kifo ni jambo la kawaida kwa mwanadamu.
Point yako ni watu kupumua au kujitokeza hadharani na kusema wazi kuwa sasa wamepumua? Kwa sababu kufa kwa Sokoine wapo watu walipumua, kuachia madaraka kwa Nyerere hadi kuja kufa kwake wapo watu walipumua.Ni kweli kila mtu atakufa, uthibitisho kwamba kifo cha mtu kilitokana na maombi ya watu ni pale anapokufa tena kiongozi na ukasikia watu anaowaongoza wa kila pande za nchi wakipata ahueni na zaidi wakitoka hadharani na kutoa ya moyoni. Je haujawasikia wakitiririka ktk vyombo vya habari wakisema kuwa sasa wanapumua si wa upinzani tu hata wale wa chama chake.
Ni lini kiongozi alifariki kukawa na watu kujitokeza hadharani hata viongozi wa dini kudai kwamba sasa wamepumua? Je kifo cha Nyerere, Mkapa, Sokonne, nk ukiwahi sikia?
Mema na maovu y mtu huishi milele ...Kitendo Cha kupigwa Risasi na TL kitadumu milele...Ole wake nakizazi chake aliye husika!This is nonsensical.... Haya hayana tofauti na kauli ya Kwamba wazuri hawafi.....
Huu ni muendelezo wa kupigana na Marehemu wakati walio Hai wanaendelea kukutafuna...
Alisema 2 Pac...., They say it's the white man I should fear, But it's my own kind doin' all the killin' here.
Siyo kupumua tu, hili neno nimelitumia kama kupunguza ukali wa yaliyojili ktk utawala wake na yaliyojili baada ya kifo.Point yako ni watu kupumua au kujitokeza hadharani na kusema wazi kuwa sasa wamepumua? Kwa sababu kufa kwa Sokoine wapo watu walipumua, kuachia madaraka kwa Nyerere hadi kuja kufa kwake wapo watu walipumua.
Kipindi cha awamu ya 4 viongozi wa upinzani walikuwa wanakutana sana na Rais Ikulu na kumalizana mambo yao kitu ambacho katika awamu ya tano hali haikuwa hivyo, kwahiyo naweza kusema haya mambo ya maridhiano hata awamu ya nne yalikuwepo kwa sababu hata wakati huo wapinzani walikuwa wanapata misukosuko pia.Siyo kupumua tu, hili neno nimelitumia kama kupunguza ukali wa yaliyojili ktk utawala wake na yaliyojili baada ya kifo.
Lakini ni ukweli kuwa hata wewe unajua jinsi watu hadi sasa kwa wingi kiasi hata ktk ngazi ya kitaifa wanavyojadili madhara hasi ya utawala iliopita neno MARIDHIANO unalisikia, je ktk vifo vya viongozi uliowataja kulitokea neno hilo?
Nashukuru kwamba kwa mbali ameanza kuelewa. Nikuongezee uelewe kuwa neno MARIDHIANO ni zao la maumivu makali au vifo vitokanavyo na mtafaruku wa kisiasa na kuacha taifa likiwa limegawanyika.Kipindi cha awamu ya 4 viongozi wa upinzani walikuwa wanakutana sana na Rais Ikulu na kumalizana mambo yao kitu ambacho katika awamu ya tano hali haikuwa hivyo, kwahiyo naweza kusema haya mambo ya maridhiano hata awamu ya nne yalikuwepo kwa sababu hata wakati huo wapinzani walikuwa wanapata misukosuko pia.
Awamu ya tano malalamiko yamekuwa mengi na walalamikaji wengi ila tunasahau kuwa wengine wameguswa mambo yao fulani fulani nao pia wamejiingiza kwenye ulalamikaji, na tunaona sasa hivi baadhi yao wapo kimya hawana tena malalamiko yeyote na wengine wamekuwa wakiona sasa hivi kila kipo sawa. Ndio maana nikasema hata alivyokufa Sokoine na Nyerere kuna watu walipumua.
Huo wakati wa Kikwete watu kama akina Mzee makamba wao hawakuwa na malalamiko ila wakati wa awamu ya tano ndio hadi wao nao wanalalamika.Nashukuru kwamba kwa mbali ameanza kuelewa. Nikuongezee uelewe kuwa neno MARIDHIANO ni zao la maumivu makali au vifo vitokanavyo na mtafaruku wa kisiasa na kuacha taifa likiwa limegawanyika.
Ama kuhusu awamu ya nne hapa ndipo nimeona kuwa kumbe aneelekea kuelewa , ni hivi ktk utawala / uongozi wowote hakuachi kuwa na mivutano ya uendeshaji wa nchi.
Lakini kunapotokea mvutano meza ya mazungumzo hutumika ili kuweka mambo sawa kwa pande zinazosigana na kwa faida ya taifa kwa ujumla.
Ndiyo maana Kikwete alijua hili na kila kulipotokea mtifuano wowote aliwakaribisha walalamikaji ili kujadili kwa pamoja na hatimaye taifa lisonge mbele tukiwa wamoja na siyo kukimbilia maendeleo ya mtutu wa bunduki huku taifa likiwa limeparaganyika. Nadhani sasa tumeekewana vizuri.