Elections 2015 Askofu Mwingira: "Rais wa awamu ya tano siyo katoliki wala uislam"

Kaburi
 
Why awataje waislam wakati wagombea wawili powerful hakuna muislam?
halafu ana wa group waisla na wakatoliki kundi moja...why?

Na why washabiki wa Lowassa wanaamini Lowassa ni mlokole wakati yeye anasema ni mlutheri?
Mkuu
Tupate Wadhamini Wetu Kidogo
Umekaza Sana.......Haa.....
 
Alishinda mkatoliki huyu nabii ni muhuni tu ila ni kweli alifanya mabadiliko makubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…