BekaNurdin
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 2,267
- 2,043
Na unabii usipotimia itakuaje? Anatuahidi nini? Au tumwiteje?
Kuna waumini wa Efatha wa hapa wilayani kwetu walienda kwenye kusanyiko Precious Centre - Kibaha mwaka 2011 walitoa ushuhuda kanisani kwamba Mwingira amewatabiria kwamba watajenga na kumiliki magorofa. Mpaka sasa wanaishi kwenye nyumba za makuti!