barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Mwingira hajawahi kukosea katika utabiri wowote ule..... Nazidi kuamini Ukawa wanachukua Nchi
Pia aliwahi bashiri 2010 sisiemu kupinduka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwingira hajawahi kukosea katika utabiri wowote ule..... Nazidi kuamini Ukawa wanachukua Nchi
Pia aliwahi bashiri 2010 sisiemu kupinduka.
wehu nyie. Mbona hawazungumzi na Mungu wao wakati wa gharika za mafuriko? Au Mungu wenu anakuwa kalewa kalala?
Huyo ni Askofu na Nabii wa Mungu maneno yake siyo ya kupuuzawa
haswaaaaa
Kwani magufuli anasaliti wapi?Nimemuelewa sana Mwingila
Mwingira hajawahi kukosea katika utabiri wowote ule..... Nazidi kuamini Ukawa wanachukua Nchi
Why awataje waislam wakati wagombea wawili powerful hakuna muislam?
halafu ana wa group waisla na wakatoliki kundi moja...why?
Na why washabiki wa Lowassa wanaamini Lowassa ni mlokole wakati yeye anasema ni mlutheri?
Cha ajabu Lowassa anaungwa mkono na idadi kubwa ya wakatoliki na waisilamu, sasa ukichanganya na waprotestant wake sijui itakuwaje hiyo October!Hivi idadi ya hawa walokole na waprotestant wapo wangapi nchini? Kwa upande wangu naamini Waislam na Wakatoliki ndo wengi zaidi
Na unabii usipotimia itakuaje? Anatuahidi nini?
Cha ajabu Lowassa anaungwa mkono na idadi kubwa ya wakatoliki na waisilamu, sasa ukichanganya na waprotestant wake sijui itakuwaje hiyo October!
Askofu Josephat Mwingira asema Raisi wa awamu ya tano atatoka nje ya madhehebu ya katoliki na uislam.
Pia askofu huyo mwenye makanisa kila pande ya nchi na wafuasi lukuki aliendelea kusema kwamba uongozi wa Raisi huyo utakuwa na nguvu sana na atabadilisha mambo mengi kwa kipindi kifupi sana (Maono kutoka mbinguni)
Akiri za kuambiwa changanya na za kwako ..Lengo ni mabadiliko.
jisikilizie mwenyewe Audio hii nime attach hapo wanajamvi
Na unabii usipotimia itakuaje? Anatuahidi nini? Au tumwiteje?
Wacha kulia lia mtu mzima wewe.Mod. afute huu uzi."amepost upotoshaji mkubwa
na kumsingizia askofu mwingira.
Kuthibitisha hili hiyo audio ina empty content.
Sheria ya mtandao ichukue nafasi yake!!!!"
Unabii ni utumishi. Uaskofu ni cheo