Elections 2015 Askofu Mwingira: "Rais wa awamu ya tano siyo katoliki wala uislam"

Elections 2015 Askofu Mwingira: "Rais wa awamu ya tano siyo katoliki wala uislam"

Kama Ponda, lakini akisema askofu walaa sio uchochezi.
ni mola pekee ndiyo mwenye uwezo wa kujua nini kitatokea kesho wala sio binadamu yeyote,hao watabiri wamekutana na watu wajinga na wanawapa ujinga,na wao wanaamini ujinga.
Mwenye akili anamtumaini mungu tu kwa kila kitu.
 
haya ni mambo ya kawaidatu. Najua jambo hili linawaumiza sana watu wa ccm. Hawapendi kusikia mambo haya.

Tb joshua. Alitabiri uchaguzi wa kenya. Na hikawa hivyo, akatabiri na uchaguzi wa nchi yake nigeria na hikawa hivyo hivyo.

Na hata hapa kwetu alishatabiri juu ya lowassa kuchukua nchi mwaka uhu. Sasa wanaobisha tukutane baada ya uchaguzi.

lowasa hawezi kupita mkuu.......
 
Huyu askofu ni kilaza, aliyesema uislamu ni dhehebu mi nani?
Hivi hii 'mitumishi' feki ya Mungu sijui imelishwa nini?? yaani kipindi hiki ndo tunaona viongozi wa dini vilaza! Mi mkristo, ila mbona wenzetu waislamu wametulia tuli wala hawako bize kuligawa taifa??

Ataa waislamu sina kuna madhehebu .mfano dhehebu kubwa la waislam Tanzania ni sunni el shafii..inafuata answar suna.ithinashari.shia el jamaa.na mengine mengi.
 
Dr Slaa alisema maaskofu wamenunuliwa na Lowassa mkataka ushahidi..haya ushahidi ndi huu sijui mnataka nini kingine...Na ndugu zangu wa chadema mkiitwa ni chama cha wakristo sijui bado mtakataa.

Hapa ni UKAWA tu mpaka kieleweke .......!! Waislam wanalia mfumo Kristo wa CCM. Wewe unadai CDM chama cha Kikristo then what ..... Mabadiliko ni muhimu sana Tanzania ili kila mtu ajisikie ni Mtanzania kama Watanzania, ili Watanzania wengine wasiwaone wenzao ni Wapumbavu na Malofa!!!
 
Hivi idadi ya hawa walokole na waprotestant wapo wangapi nchini? Kwa upande wangu naamini Waislam na Wakatoliki ndo wengi zaidi
Ukiona mtu kaandika kwa mwelekeo wa ushabiki wa kidini puuza, kwani amani yetu ni bora kuliko magufuri na ni bora kuliko lowasa, baada ya oct awe ni magufuli kashnda au ni lowasa basi yeyote kati yao atakuwa ni raisi wako tu.

Acheni udini
 
Askofu Josephat Mwingira asema Raisi wa awamu ya tano atatoka nje ya madhehebu ya katoliki na uislam.

Pia askofu huyo mwenye makanisa kila pande ya nchi na wafuasi lukuki aliendelea kusema kwamba uongozi wa Raisi huyo utakuwa na nguvu sana na atabadilisha mambo mengi kwa kipindi kifupi sana (Maono kutoka mbinguni)


Akiri za kuambiwa changanya na za kwako ..Lengo ni mabadiliko.


jisikilizie mwenyewe Audio hii nime attach hapo wanajamvi

Mwenyezi na aamue kwa haki.Kwa wanachofanya ccm,nawafananisha na utawala wa Sauli.Ee Mwenyezi,mapenzi yako yafanyike!
 
Mwingira tapeli tu hana lolote ni nabii wa uongo pamoja na gwajima wake miujiza feki ya kishetani na tabiri za uongo namfahamu vizuri mme wangu tangu aingie kusali efata ndo kawa mbaya kuliko. Kawa na tabia mbaya mpaka basi

Mmh? Kweli?? Au chuki binafsi
 
usijaribu kupuuza maneno ya watu wa Mungu .

mkuu unamahaba na lowasa mpaka unaumwa???
Kulingana na maandiko ya biblia hao wanajiita manabii hao ndio wale wa uwongo. Utawatambua hata kwa matendo yao. Wameacha kaz yao sasa wamejikita kuchonganisha watu
 
lowasa hawezi kupita mkuu.......

We we unasema kama nani !!??maana sisi tunasema Lowasa kwani niaba ya wapumbavu na malofa wote Tanzania .nakama unavujua tena wapumbavu na malofa ni asilimia 90 ya watanzania.wewe unapata wapi kiburi chakusema !!??
 
Why awataje waislam wakati wagombea wawili powerful hakuna muislam?
halafu ana wa group waisla na wakatoliki kundi moja...why?

Na why washabiki wa Lowassa wanaamini Lowassa ni mlokole wakati yeye anasema ni mlutheri?

Kuna watu wanna Amini kuwa Ikulu ...rais lazima awe mkristo mkatoliki au Muislamu Sunni ..ndio theory ninazosikia Mitaaani

Mimi nitafurahi kuwa tusiangalie dini ...dhehebu Kabila ..wala nini ...
 
Why awataje waislam wakati wagombea wawili powerful hakuna muislam?
halafu ana wa group waisla na wakatoliki kundi moja...why?

Na why washabiki wa Lowassa wanaamini Lowassa ni mlokole wakati yeye anasema ni mlutheri?

Hahahaaaaa inaonekana unajuta sana kumsikiliza Mwingira.
Ndo hivo yeye kafundisha biblia hatangazi siasa wala kampeni hapo.
 
Kuna watu wanna Amini kuwa Ikulu ...rais lazima awe mkristo mkatoliki au Muislamu Sunni ..ndio theory ninazosikia Mitaaani

Mimi nitafurahi kuwa tusiangalie dini ...dhehebu Kabila ..wala nini ...

Ni kweli mkuu hata mimi hizi theory nimesikia sana..
 
Back
Top Bottom