Nanaa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 5,893
- 3,709
Wangekuwa masheikh wanaongea Maneno haya wangeitwa magaidi,wachochezi.mida hii wangekuwa segerea
Kama Ponda, lakini akisema askofu walaa sio uchochezi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wangekuwa masheikh wanaongea Maneno haya wangeitwa magaidi,wachochezi.mida hii wangekuwa segerea
why awataje waislam wakati wagombea wawili powerful hakuna muislam?
Halafu ana wa group waisla na wakatoliki kundi moja...why?
Na why washabiki wa lowassa wanaamini lowassa ni mlokole wakati yeye anasema ni mlutheri?
Siku hizi ni askofu?sio nabii na mtume?
Udini udhehebu utatupeleka pabaya na jf mnachangia kwa kushobokea
Tumefika huku? Hatari sana hii
Wangekuwa masheikh wanaongea Maneno haya wangeitwa magaidi,wachochezi.mida hii wangekuwa segerea
unaweza kututajia japo kwa ufupi tu hizo tabia mbaya za mumeo ?Mwingira tapeli tu hana lolote ni nabii wa uongo pamoja na gwajima wake miujiza feki ya kishetani na tabiri za uongo namfahamu vizuri mme wangu tangu aingie kusali efata ndo kawa mbaya kuliko. Kawa na tabia mbaya mpaka basi
Tumefika huku? Hatari sana hii
Huyu askofu ni kilaza, aliyesema uislamu ni dhehebu mi nani?Askofu Josephat Mwingira asema Raisi wa awamu ya tano atatoka nje ya madhehebu ya katoliki na uislam.
Pia askofu huyo mwenye makanisa kila pande ya nchi na wafuasi lukuki aliendelea kusema kwamba uongozi wa Raisi huyo utakuwa na nguvu sana na atabadilisha mambo mengi kwa kipindi kifupi sana (Maono kutoka mbinguni)
Akiri za kuambiwa changanya na za kwako ..Lengo ni mabadiliko.
jisikilizie mwenyewe Audio hii nime attach hapo wanajamvi