Elections 2015 Askofu Mwingira: "Rais wa awamu ya tano siyo katoliki wala uislam"

Elections 2015 Askofu Mwingira: "Rais wa awamu ya tano siyo katoliki wala uislam"

Dr Slaa alisema maaskofu wamenunuliwa na Lowassa mkataka ushahidi..haya ushahidi ndi huu sijui mnataka nini kingine...Na ndugu zangu wa chadema mkiitwa ni chama cha wakristo sijui bado mtakataa.
 
Dr Slaa alisema maaskofu wamenunuliwa na Lowassa mkataka ushahidi..haya ushahidi ndi huu sijui mnataka nini kingine...Na ndugu zangu wa chadema mkiitwa ni chama cha wakristo sijui bado mtakataa.

Kiongozi umesikiliza kabla ya kuchangia??? Au unaona sifa na comment zako za kashfa??
 
Kiongozi umesikiliza kabla ya kuchangia??? Au unaona sifa na comment zako za kashfa??

Nimesikiliza vizuri sana kampeni za chadema kanisani.

Mchungaji anasema ni wakati wa mabadiliko

anasema rais hatakuwa mkatoliki wala mwislamu

anasema hakuna wa kuzuia mafuriko ya lowassa

anasema kanisa baada ya kuingia lowassa litakuwa very powerful

anasema ccm isahau kuendelea kutawala
 
Wangekuwa masheikh wanaongea Maneno haya wangeitwa magaidi,wachochezi.mida hii wangekuwa segerea
 
Udini udhehebu utatupeleka pabaya na jf mnachangia kwa kushobokea
 
Mwingila naye tapeli tu katapeli watu kibao leo aseme nini bora anyamaze.
 
Hakuna MTU aitwae askofu josephat Mwingira.
 
Ni kweli CHADEMA ni chama cha wakristo hata Babu Duni Haji kabatizwa siku hizi anaitwa Babu Ezekiel Duni haaa haaa.

Dr Slaa alisema maaskofu wamenunuliwa na Lowassa mkataka ushahidi..haya ushahidi ndi huu sijui mnataka nini kingine...Na ndugu zangu wa chadema mkiitwa ni chama cha wakristo sijui bado mtakataa.
 
Why awataje waislam wakati wagombea wawili powerful hakuna muislam?
halafu ana wa group waisla na wakatoliki kundi moja...why?

Na why washabiki wa Lowassa wanaamini Lowassa ni mlokole wakati yeye anasema ni mlutheri?
Kuna walokole walutheri pia.... Mfano mwepesi Mwalimu Mwakasege ni Mlutheri na mlokole...
 
Mi sijui?

Wana maslahi gani na hizi UKAWA na CCM? Something wrong upstairs... Wanashadadia chaguo la Mungu kama 2005 lakn ukiwauliza huyo mungu anaewapa haya maono ndo anaependa ujinga wa hawa watanganyika kiasi hiki?
In my opinion wasiligawe Taifa hili kwani madhara ya maneno yao ni makubwa na wamezungukwa na kondoo ambao wengi huamini kila linalozungumzwa bila kufanya " critical analysis & wise decision"
 
Ukiangalia michango ya watu hapa hasa ktk mada hii unaanza kuelewa kwanini Mh. Mkapa aliwaita baadhi ya watu malofa na wapumbavu. Ktk kiambatanisho kilichopo hapa maneno anayoeleza mleta mada hayapo hata kidogo hatataja chochote kuhusu uchaaguzi wala dini yeyote kama tunavyoaminishwa na mleta mada, labda kama anakiambatanisho kingine.
 
Back
Top Bottom