Uchaguzi 2020 Askofu na Sheikh wamwaga dua nzito dhidi ya watakaofanya dhulma katika Uchaguzi huu

Nimejikuta nakumbuka dua za Kawe.Nilikwepo siku ile wakati shehe anamwaga dua.Usicheze na watu wa Mungu
 
Shehe kaongea kwa uchungu Sana nimeona
Huenda Mungu alijibu Hatariiii sana
Wakinia kwa dhati ya kiroho hizi dua zitaleta effect kubwa sana
Aiseeee
 
Du, kumbe rungu la Mola lilikuwa hewani!
 
Amen
 
Nimejikuta nakumbuka dua za Kawe.Nilikwepo siku ile wakati shehe anamwaga dua.Usicheze na watu wa Mungu
Hapo hakuna mtu wa Mungu kuanzia huyo Mwamakula na hao wapiga dua na wewe ukiwemo

Kasome BIblia Ezekieli 18:23 inatamka wazi kuwa Mungu HAFURAHII KABISA KIFO CHA MWENYE DHAMBI

Sasa kama wewe na wenzio akina Mwamakula mnlikuwa mnamuona Magufuli kuwa alikuwa ni mwenye dhambi na mnafurahia kifo chake nyie wote wapagani watupu msiomjua Mungu HAKUNA MTU WA MUNGU HAPO

Na dua za kuomba mwenye dhambi afe haziko in line na mapenzi ya Mungu ni za kipagani ndio maana CHADEMA ilipigwa chini jumla uchaguzi uliopita
 
Jikumbushe zile dua.
 
Dua ilianza na mkubwa wao
 
Bado mna mawazo ya haya Mambo
 
Na majibu wote tumeyaona,sasa wale wa kupandisha mabega na kushupaza shingo wajue zile dua bado ziko valid.
 
Aliyedhulumu haki ya wapiga kura leo hii anabanikwa kama ndafu,Mungu hadhihakiwi,na bado zile dua ziko valid kwani Mungu wetu ni yule jana,leo na hata milele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…