Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
- Thread starter
- #21
Waliofanya udhalimu kwenye uchaguzi ule, wasome hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi niliomba dua ya kuwaadhibu mpaka wale walimu waliosimamia kwenye vituo lazima udhalimu wao utawageukia, ile ilikuwa dhuruma kubwa sana.Waliofanya udhalimu kwenye uchaguzi ule, wasome hapa
Katika mkutano wa Chadema leo Kawe, Askofu Mwamakula na Sheikh Katimba leo wametoa dua nzito sana dhidi ya mtu yeyote atakayetenda dhulma kudhulumu haki za watanzania kwenye kupata viongozi wao halali wa nchi hii.
Askofu Mwamakula amesoma dua nzito ya kuomba Mungu ashushe Malaika wawashughulikie wote watakaojaribu kupora haki za watanzania kuchagua wawatakao. Ametoa mfano wa namna Malaika walipopambana na majeshi ya Ibilisi na kumnyang'anya funguo za kuzimu.
Sheikh Katimba akaomba Mungu amdhalilishe mtu yoyote atakayekula njama za za dhulma ya haki za wananchi, ameomba Mungu amdhalilishe hapahapa duniani na huko Mbinguni
Mimi nasema hawa viongozi wa kitaifa, viongozi wa CCM, VIongozi wa NEC na wote wanaokula njama za kuvuruga uchaguzi MWENYEZI MUNGU ANAONA, LAANA HAZITAWAACHA SALAMA IWAPO MTATEKELEZA UDHALIMU HUU!
Mwaka 2015 Mkuu wa nchi wakati anaapishwa pale uwanja wa Taifa kuwa rais, alisomewa dua na Askofu na Sheikh dua nzito huku akiapa kuwa mtenda haki na kutoonea wala kubagua. Sasa Dua za Mungu huwa haziendi bure, namshauri ajipime aone kama amekiishi hiki kiapo. Viapo mbele ya Mungu ni vizito!
Nimkumbushe tu Rais Magufuli kuwa siku anaapishwa pale Uwanja wa Taifa, Sheikh Mkuu alimsomea dua nzito sana akiambatanisha dua hiyo na aya Nzito kuliko zote kwenye Qu'ran aya ya Mamlaka ya Mungu (Ayatul' Kursiyyu). Hii ni Aya yenye Ulinzi mzito!, Waislamu huitumia aya hii kwenye kujilinda dhidi ya mamlaka za Ibilisi, uchawi, wenye nia mbaya n.k. Na kweli Mungu kamlinda Rais katika Mengi mpaka sasa. Lakini nimkumbushe tu mheshimiwa rais kuwa Qur'an huwa haichezewi chezewi, Mwisho wake siyo Mzuri. Ni bora atende haki la sivyo Mungu hadhihakiwi!, Adhabu yake ni kali!
Maamuzi ni yake atekeleze kiapo chake au akivunje!. Mungu anamuona!
Ndugu yangu. Mungu haangalii wenye hadhi. Anaweza akamrumia hata yule ambaye hamkutarajia. Rejea mfano wa daudi.
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana !Shehe kaongea kwa uchungu Sana nimeona
Mie naamini dua zetu zimejibiwa na muumba. tusubiri muda utasema!Katika mkutano wa Chadema leo Kawe, Askofu Mwamakula na Sheikh Katimba leo wametoa dua nzito sana dhidi ya mtu yeyote atakayetenda dhulma kudhulumu haki za watanzania kwenye kupata viongozi wao halali wa nchi hii.
Askofu Mwamakula amesoma dua nzito ya kuomba Mungu ashushe Malaika wawashughulikie wote watakaojaribu kupora haki za watanzania kuchagua wawatakao. Ametoa mfano wa namna Malaika walipopambana na majeshi ya Ibilisi na kumnyang'anya funguo za kuzimu.
Sheikh Katimba akaomba Mungu amdhalilishe mtu yoyote atakayekula njama za za dhulma ya haki za wananchi, ameomba Mungu amdhalilishe hapahapa duniani na huko Mbinguni
Mimi nasema hawa viongozi wa kitaifa, viongozi wa CCM, VIongozi wa NEC na wote wanaokula njama za kuvuruga uchaguzi MWENYEZI MUNGU ANAONA, LAANA HAZITAWAACHA SALAMA IWAPO MTATEKELEZA UDHALIMU HUU!
Mwaka 2015 Mkuu wa nchi wakati anaapishwa pale uwanja wa Taifa kuwa rais, alisomewa dua na Askofu na Sheikh dua nzito huku akiapa kuwa mtenda haki na kutoonea wala kubagua. Sasa Dua za Mungu huwa haziendi bure, namshauri ajipime aone kama amekiishi hiki kiapo. Viapo mbele ya Mungu ni vizito!
Nimkumbushe tu Rais Magufuli kuwa siku anaapishwa pale Uwanja wa Taifa, Sheikh Mkuu alimsomea dua nzito sana akiambatanisha dua hiyo na aya Nzito kuliko zote kwenye Qu'ran aya ya Mamlaka ya Mungu (Ayatul' Kursiyyu). Hii ni Aya yenye Ulinzi mzito!, Waislamu huitumia aya hii kwenye kujilinda dhidi ya mamlaka za Ibilisi, uchawi, wenye nia mbaya n.k. Na kweli Mungu kamlinda Rais katika Mengi mpaka sasa. Lakini nimkumbushe tu mheshimiwa rais kuwa Qur'an huwa haichezewi chezewi, Mwisho wake siyo Mzuri. Ni bora atende haki la sivyo Mungu hadhihakiwi!, Adhabu yake ni kali!
Maamuzi ni yake atekeleze kiapo chake au akivunje!. Mungu anamuona!
Kusikia kwa KENGE ni mpaka Damu itoke masikioni....Baada ya Magufuli kuapishwa pale uwanja wa Taifa mwaka 2015 alisomewa Aya nzito sana na Sheikh Mkuu iitwayo Ayatul Kursiyyu hiyo ni Aya kuu ya ulinzi ndani ya kwenye Qur'an kuliko zote ili Mungu ampe ulinzi akatende haki, sasa ngoja aende nje ya viapo alivyoapa pale uwanja wa Taifa mwaka 2015 aje aone mwisho wake!.
kwamba hakuwa india tena[emoji23][emoji23][emoji23]
PipooozBaada ya Magufuli kuapishwa pale uwanja wa Taifa mwaka 2015 alisomewa Aya nzito sana na Sheikh Mkuu iitwayo Ayatul Kursiyyu hiyo ni Aya kuu ya ulinzi ndani ya kwenye Qur'an kuliko zote ili Mungu ampe ulinzi akatende haki, sasa ngoja aende nje ya viapo alivyoapa pale uwanja wa Taifa mwaka 2015 aje aone mwisho wake!.
[emoji23][emoji23][emoji23]Baada ya Magufuli kuapishwa pale uwanja wa Taifa mwaka 2015 alisomewa Aya nzito sana na Sheikh Mkuu iitwayo Ayatul Kursiyyu hiyo ni Aya kuu ya ulinzi ndani ya kwenye Qur'an kuliko zote ili Mungu ampe ulinzi akatende haki, sasa ngoja aende nje ya viapo alivyoapa pale uwanja wa Taifa mwaka 2015 aje aone mwisho wake!.
Ili maombi yakubaliwe na Mungu mwombaji anatakiwa awe msafi asiye na mawaa(dhambi) hata akiwa mdogo vipi, duni kiasi gani.Chadema kinatia huruma kutoka kuombewa Dua na masskofu wenye hadhi Kama Kakobe na Gwajima Hadi kuombewa Dua na Askofu mwamakula mwenye kanisa la mfukoni na shehe ubwabwa Katimba
Watu wengi msiomjua Mungu unafikiri kuwa, Ikiombwa dua Basi Jambo hutokea Mara kama vile Elia alivyoomba Moto ukashuka, au enzi za sodoma au Nuhu.Hakuna impact yoyote ya dua wala sala/maombi yanayoweza kufanya chochote. Walipiga dua miaka ya 95 na mpaka 2030 zitapigwa dua..na hakuna kitakacho tokea