Uchaguzi 2020 Askofu na Sheikh wamwaga dua nzito dhidi ya watakaofanya dhulma katika Uchaguzi huu

Hivi huko Zanzibar hawa masheikh hawapo ??

Finally, stori za Kikwete ndio anaendesha nchi zimekufa.

Siasa zetu bana, duuh.

Hawa ndio wanataka wapewe nchi...? unaanza kuwapa nchi watu wasioaminika aka wapiga ramli..ambao leo wanaamua hivi na kesho wanaamua vile...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…