Askofu Niwe Mugizi jimbo Katoliki Rulenge Ngara Kagera, kuongoza kampeni ya kupinga katiba mpya

R.B

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
6,296
Reaction score
2,575
Askofu Niwemgizi wa jimbo Katoriki jimbo kuu Rulenge amesema ataongoza kampeni ya kura ya hapana kupinga katiba mpya.

Mkuu,,,naww unakuwa km mgeni humu jukwaani unaletaje habari isiyokamilika?
 
Duh hawa jamaaa wakatoliki huwa ni noma, wakiamua jambo huwa hawarudi nyuma.

If you sideline the church hakika ypu are heading towards failure, thats for sure.

go go askofu Niwemugizi, tuko sote sawa. Tupo na wewe hatua zote!
 
mkuu ni jambo jema kwa viongozi wa dini kusema ukweli kama walivyo viongozi wao
 
Nashangaa nchi ilivyogawanyika,nchi hii inakwenda kuangamia,kuporomoka kwa ulaya mashariki na sovieti ilikuwa hivi hivi,unaweza kushangaa kuna taasisi zinaendeshwa kidini tu,upinzani unadidimizwa,uwizi wa mali ya umma,upendeleo serikalini.Utashangaa katiba ya nchi inaandikwa but nchi imegawanyika.
 
Aliyeongea hayo si huyo Askofu bali boss wwke Lowasa
 
Hao wanaopiga mayowe ni watu walioshindwa. Nchi hii ni zaidi ya huyo askofu wa Rulenge
 
mkuu ni jambo jema kwa viongozi wa dini kusema ukweli kama walivyo viongozi wao
Kinachokera ni kuona viongozi hao wa kiroho wakitoa matamko baada ya kushinikizwa na mtu anayeutamani urais kwa udi na uvumba
 
Kinachokera ni kuona viongozi hao wa kiroho wakitoa matamko baada ya kushinikizwa na mtu anayeutamani urais kwa udi na uvumba
Kwani wewe ukikereka kuna hasara gani kwa taifa?
BTW Fungua uzi wako uendelee kumsakama Lowasa acha kuharibu huu uzi.
 
Askofu Niwemgizi wa jimbo Katoriki jimbo kuu Rulenge amesema ataongoza kampeni ya kura ya hapana kupinga katiba mpya.

Akiamua kuingia siasa tunamwambia karibu ila asije piga yowe.Sababu tuna uzoefu wa maaskofu katoliki kuongoza na kuleta vurugu hasa Rwanda na kusababisha mauaji ya kimbari.Vurugu zikilipuka ajue hatatambuliwa kama askofu hakuna mwenye muda huo.Ajue vita haina macho nondo na mawe yakianza kurushwa yatarushwa hadi kwenye kiti chake na kofia lake la Uakofu.

Lakini tunajua kuwa kuna maaskofu ambao ni wahamiaji haramu ambao wanataka kulipa kisasi kwa kutimuliwa ndugu zao kwa kisingizio cha katiba mpya.Wametumwa. Na huyo kama ni kweli KASEMA atakuwa ametumwa na M23.Vyombo vya Usalama mzingireni hadi kwenye kitanda anacholala.
 
Mauaji unayaongelea wewe yeye amesema anapinga katiba. Sasa kwakuwa CCM ni vipofu mnakimbilia mauaji ili kutishsa watanzania waoga na wapumbavu. Kupinga katiba kunahusiana vipi na mauaji kama sio ukenge huo?

Yeye apinge kwenye ballot box na si kuhamasisha waamini wake waungane na mawazo yake ya kipumbavu. Yeye kala mlungula wa Lowasa. Asianze kuwalisha sumu wenzake
 
Hao wanaopiga mayowe ni watu walioshindwa. Nchi hii ni zaidi ya huyo askofu wa Rulenge

angalieni linyani hili la kike nalo likitoa maoni. ivi wewe chabruma aka makonda wa uvccm huoni nchi nzima ikilia mchakato huu kufanywa na ccm kwa manufaa ya ccm haifai na wewe unakejeli. kweli makonda hufai hata kujumuika katika jamii ya wtatanzania
 
Yeye apinge kwenye ballot box na si kuhamasisha waamini wake waungane na mawazo yake ya kipumbavu. Yeye kala mlungula wa Lowasa. Asianze kuwalisha sumu wenzake

Wewe ndio una mawazo ya kipumbavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…