jaywacnza
JF-Expert Member
- Sep 15, 2012
- 997
- 1,151
Haitoshi tu kusema kuwa nina mawazo ya kipumbavu ilhali umeshindwa kuyaainisha. Viongozi wa kidini wanapaswa kuhubiri amani, upendo na mshikamano na si kuhamasisha vurugu, utengano na mfarakano
Viongozi wa siasa wanapaswa kuiba kura, kuonga mabilion kwa wananchi ili kulinda aman ya nchi.....