KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,181
- 17,187
Eeenh Heee,Corona = Chadema?
Itakuwa alikuwa anatania..hapa hakuna utani kwenye siasa?
Polepole kiongozi you zwazwaUsiwe serious sana, kuna mwanachema mmoja humu alikuwa anaomba corona ije Tanzania..na bado alijetetea na lengo lake au mawazo yake ilikuwa CCM iathilike, kwa hiyo na huyu kuwafananisha CDM na corona hana tofauti na yule...au mm sijaelewa? Wote hawa wanafanya mzaha na Corona
Kizzy WizzyNaongea Leo hii tarehe 20 mwezi March mwaka 2020, Kwa kauli hii ya dhihaka na kejeli aliyoitoa Polepole, kipindi ambacho virusi vya Corona vitafutika kwenye Ardhi hii ndicho kipindi Polepole atafutika pamoja navyo.
MWENYEZI MUNGU HADHIHAKIWI
Sent using Jamii Forums mobile app
Ana Down syndrome.Ukitamzama sana Polepole kuna kitu amepungukiwa. Amekosa hata chembe ya hekima.
Masheikh zetu wako pia,tafadhali unganeni katika kulikemea hili pia,sio munaungana katika ile kamati ya Amani tu.Nawakubali sana maaskofu wanaotoka kanda hiyo
Huu si wakati wa utani wa jinsi hiyo. Humphrey Polepole ajitafakari na kujirudi!Corona = Chadema?
Itakuwa alikuwa anatania..hapa hakuna utani kwenye siasa?
Toka lini mtu mpumbavu akawa na hekima?Ukitamzama sana Polepole kuna kitu amepungukiwa. Amekosa hata chembe ya hekima.
Baba Askofu amesahau maana ya siasa
Nimesikitika sana kusoma maneno kwenye mtandao ambayo sijaamini yamesemwa kweli na mtu ambaye huko nyuma nilimheshimu sana, kwamba, tunaomba Mungu ugonjwa huu uondoke, Corona ni sawa na wapinzani nchini“.
Nikayakumbuka maneno ya Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mheshimiwa Anna Mgwira aliyosema jana kwenye salamu zake baada ya ibada ya kumsimika Askofu Ludovic Joseph Minde kuwa Askofu wa Moshi.
Alisema kwa kurudia rudia „tusaidieni (viongozi wa dini) kuwatengeneza watu wema wanaoheshimu utu wa watu na haki za watu“. Nimejiuliza hivi kweli hiyo ni siasa safi binadamu kumwona au kumuita mwenzake ni sawa na kirusi cha Corona?
Kumwona binadamu aliyeumbwa kwa sura na mfano wa Mungu ni tusi kubwa kwa Mungu mwenyewe kwamba Yeye Mungu naye ni sawa na kirusi cha Corona, kinachopaswa kuondoka!! Halafu unamwomba huyo Mungu aondoe Corona?!
Hapo ndipo tumefika Watanzania kweli!? Hiyo ndiyo sura ya, siasa ni uadui“. Mtu mnayetofautiana mtazamo au itikadi ni adui, ila kesho akibadili mtazamo akafuata wako anabadilika na kuwa lulu nzuri, rafiki, na binadamu kama wewe.
Jamani! Nawasihi Watanzania tujitahidi kupima maneno tunayozungumza hadharani kumhusu binadamu mwingine.
Mtakatifu Yakobo anasema „Mtu asiyejikwaa katika kunena, huyo ni mtu mkamilifu, anaweza kuuzuia na mwili wake wote kama kwa lijamu“ (Yak 3:2). Na tena, ulimi ni uovu usiotulia, umejaa sumu iletayo mauti“ (3:8).
Namshauri aliyesema Corona ni sawa na wapinzani katika nchi hii kama ni muungwana aombe radhi kwa kumdhalilisha Mungu aliyemuumba binadamu kwa sura na mfano wake (Mwa 1:26-27).
Kwa namna hiyo ataepusha mauti kwa heshima yake mwenyewe na na kwa siasa za kistaarabu.
Source: FB page yake
My take:
1. CCM kutokanusha kauli hii ni sawa na kubariki, ndio tuseme ni msimamo wa chama.
2. Tahadhari wasimtingishe tena askofu na zile saga za uraia na passport
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Baba Askofu kijana mzee ana dementia msamehe.
Remote,
Huyo Polepole anayafanya yote hayo kwa kumpendezesha bosi wao ambaye ni "sadist" mkubwa
Kama bosi wake hapendi siasa hizo za chuki, basi tutarajie akemee vikali
Kwa kumpa nafasi ya ukatibu mwenezi taifa pole pole, tulichemsha kabisa badala ya kuunganisha chama na wananchi yeye amejipa kazi ya kukitenga chama na wananchi. Hopeless kabisa.