Askofu Niwemugizi asikitishwa na Kauli ya Humphrey Polepole kuwafananisha Wapinzani na Corona

Usiwe serious sana, kuna mwanachema mmoja humu alikuwa anaomba corona ije Tanzania..na bado alijetetea na lengo lake au mawazo yake ilikuwa CCM iathilike, kwa hiyo na huyu kuwafananisha CDM na corona hana tofauti na yule...au mm sijaelewa? Wote hawa wanafanya mzaha na Corona
Una hakika ni mwanachadema? Ana cheo gani ndani ya chadema? Kwa nini unadhani ni mwanachadema na sio mwananchi tu wa kawaida aliyechoshwa na utawala huu? Maswali niliyouliza huwezi kuyauliza kuhusu polepole kwa sababu polepole sote tunamjua ni kiongozi mwandamizi ndani ya ccm. Ni msemaji wa chama!
 
Nimesikitika sana kusoma maneno kwenye mtandao ambayo sijaamini yamesemwa kweli na mtu ambaye huko nyuma nilimheshimu sana, kwamba, tunaomba Mungu ugonjwa huu uondoke, Corona ni sawa na wapinzani nchini“.

Nikayakumbuka maneno ya Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mheshimiwa Anna Mgwira aliyosema jana kwenye salamu zake baada ya ibada ya kumsimika Askofu Ludovic Joseph Minde kuwa Askofu wa Moshi.

Alisema kwa kurudia rudia „tusaidieni (viongozi wa dini) kuwatengeneza watu wema wanaoheshimu utu wa watu na haki za watu“. Nimejiuliza hivi kweli hiyo ni siasa safi binadamu kumwona au kumuita mwenzake ni sawa na kirusi cha Corona?

Kumwona binadamu aliyeumbwa kwa sura na mfano wa Mungu ni tusi kubwa kwa Mungu mwenyewe kwamba Yeye Mungu naye ni sawa na kirusi cha Corona, kinachopaswa kuondoka!! Halafu unamwomba huyo Mungu aondoe Corona?!

Hapo ndipo tumefika Watanzania kweli!? Hiyo ndiyo sura ya, siasa ni uadui“. Mtu mnayetofautiana mtazamo au itikadi ni adui, ila kesho akibadili mtazamo akafuata wako anabadilika na kuwa lulu nzuri, rafiki, na binadamu kama wewe.

Jamani! Nawasihi Watanzania tujitahidi kupima maneno tunayozungumza hadharani kumhusu binadamu mwingine.

Mtakatifu Yakobo anasema „Mtu asiyejikwaa katika kunena, huyo ni mtu mkamilifu, anaweza kuuzuia na mwili wake wote kama kwa lijamu“ (Yak 3:2). Na tena, ulimi ni uovu usiotulia, umejaa sumu iletayo mauti“ (3:8).

Namshauri aliyesema Corona ni sawa na wapinzani katika nchi hii kama ni muungwana aombe radhi kwa kumdhalilisha Mungu aliyemuumba binadamu kwa sura na mfano wake (Mwa 1:26-27).

Kwa namna hiyo ataepusha mauti kwa heshima yake mwenyewe na na kwa siasa za kistaarabu.

Source: FB page yake

My take:
1. CCM kutokanusha kauli hii ni sawa na kubariki, ndio tuseme ni msimamo wa chama.
2. Tahadhari wasimtingishe tena askofu na zile saga za uraia na passport
FB page yake, siyo?
 
Tofauti ya Polepole na Yule jamaa aliye ombea Corona ije ni; Yule ni mwananchi wa kawaida ambaye anapingana na ccm, Polepole ni mwenezi wa ccm! Ndiye anayeeneza imani na misimamo ya chama tawala!
 
Baba askofu asante kutuweka tone LA maji kwenye ndimi na makoo yalio na kiu sana! Sisi hasa wa Kristi wakatoliki, kuna wakati wengine tunataka kuamini visivyo kuhusu maaskofu wetu(TEC), kwamba hawaoni?,hawasikii?, hawaambiwi?
Hawana habari? Na yanayotendwa chini ya selikali ya mkatoliki mwenzetu, tena mseminarista(ex..), maonevu, dhuruma, ukatili hasa kwa wapinzani wa Ccm wa ukweli kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi, viongozi vijana wanawake waliofanyiwa juzi, Kule segerea, tazama kauli za Makonda, maafande SILO NA WENZAKE , SILLO NI MKATOLIKI!!! , inaleta ukakasi sana na kukwazika tunapokuwa katika ibada wote(misa takatifu) ni kama maigizo, kwa ujumbe huu nawaambia maaskofu wetu na mapadre daima msifanye ibada ya miss takatifu kama maigizo kwa kuogopa kukemea na kusema haki, MISA TAKAKIFU NI IBADA HALISI YA BWANA WETU MSALABANI tumefundishwa hivyo, tumeamini hivyo, na ndivyo ilivyo, ASKOFU AU PADRE ANAYEENDESHA IBADA UKASHINDWA KUKEMEA, KUONYA, KUWA SHAIDI WA IMANI, HAKI, WEWE UTAULIZWA TU!!!! MAANA UNAIFANYA IBADA SEHEMU YA KUKWAZA WAUMINI. ASANTE SANA BABA NIWEMUGIZI, MUNGU TU ATAKULIPA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesikitika sana kusoma maneno kwenye mtandao ambayo sijaamini yamesemwa kweli na mtu ambaye huko nyuma nilimheshimu sana, kwamba, tunaomba Mungu ugonjwa huu uondoke, Corona ni sawa na wapinzani nchini“.

Nikayakumbuka maneno ya Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mheshimiwa Anna Mgwira aliyosema jana kwenye salamu zake baada ya ibada ya kumsimika Askofu Ludovic Joseph Minde kuwa Askofu wa Moshi.

Alisema kwa kurudia rudia „tusaidieni (viongozi wa dini) kuwatengeneza watu wema wanaoheshimu utu wa watu na haki za watu“. Nimejiuliza hivi kweli hiyo ni siasa safi binadamu kumwona au kumuita mwenzake ni sawa na kirusi cha Corona?

Kumwona binadamu aliyeumbwa kwa sura na mfano wa Mungu ni tusi kubwa kwa Mungu mwenyewe kwamba Yeye Mungu naye ni sawa na kirusi cha Corona, kinachopaswa kuondoka!! Halafu unamwomba huyo Mungu aondoe Corona?!

Hapo ndipo tumefika Watanzania kweli!? Hiyo ndiyo sura ya, siasa ni uadui“. Mtu mnayetofautiana mtazamo au itikadi ni adui, ila kesho akibadili mtazamo akafuata wako anabadilika na kuwa lulu nzuri, rafiki, na binadamu kama wewe.

Jamani! Nawasihi Watanzania tujitahidi kupima maneno tunayozungumza hadharani kumhusu binadamu mwingine.

Mtakatifu Yakobo anasema „Mtu asiyejikwaa katika kunena, huyo ni mtu mkamilifu, anaweza kuuzuia na mwili wake wote kama kwa lijamu“ (Yak 3:2). Na tena, ulimi ni uovu usiotulia, umejaa sumu iletayo mauti“ (3:8).

Namshauri aliyesema Corona ni sawa na wapinzani katika nchi hii kama ni muungwana aombe radhi kwa kumdhalilisha Mungu aliyemuumba binadamu kwa sura na mfano wake (Mwa 1:26-27).

Kwa namna hiyo ataepusha mauti kwa heshima yake mwenyewe na na kwa siasa za kistaarabu.

Source: FB page yake

My take:
1. CCM kutokanusha kauli hii ni sawa na kubariki, ndio tuseme ni msimamo wa chama.
2. Tahadhari wasimtingishe tena askofu na zile saga za uraia na passport
Huyu hajitambui tu! Wansiasa wanapoomba kusaidiwa na viongozi wa dini, wanachokitaka ni wafuasi wa dini hizo, siyo nguvu ya kiongozi kama Bagonza anavyodhania anayo.
 
Mnamo mwaka 1992 Bwana Mugesera aliyekuwa mwanasiasa maarufu nchini Rwanda aliwaita watutsi "mende". Wote tunajua kilichotokea mwaka 1994 nchini mwake. Kuna umuhimu kwa Mheshimiwa Polepole kutoa ufafanuzi wa kauli yake ili watu wenye uelewa mdogo wasione kama anawachochea wawashughulikie wapinzani kama ambavyo wanavyotakiwa kushughulikia Corona.

Amandla.....
 
Corona = Chadema?

Itakuwa alikuwa anatania..hapa hakuna utani kwenye siasa?
Wewe! Hakuna utani wa aina hiyo. Ikumbukwe tu huko nyuma walisha sema wazi kwamba hawawezi kufanya kazi na wadudu. Sasa wamekuja kututhibitishia kwamba hawatanii katika kauli zao, kwa kutuambia kwamba wadudu wenyewe ni corona. Aisee!
 
Usiwe serious sana, kuna mwanachema mmoja humu alikuwa anaomba corona ije Tanzania..na bado alijetetea na lengo lake au mawazo yake ilikuwa CCM iathilike, kwa hiyo na huyu kuwafananisha CDM na corona hana tofauti na yule...au mm sijaelewa? Wote hawa wanafanya mzaha na Corona

Aliyetoa maneno haya ana cheo gani huko Chadema?
 
Wa Ŕ.C mnakubali nchi inaingia kwenye utengano huku ikiwa inaongozwa na mseminarist?
 
Huyu hajitambui tu! Wansiasa wanapoomba kusaidiwa na viongozi wa dini, wanachokitaka ni wafuasi wa dini hizo, siyo nguvu ya kiongozi kama Bagonza anavyodhania anayo.
Bagonza katoka wapi hapa mkuu...
 
Wakuu Salaamu.
Askofu amesema haya yafuatayo:-
Nimesikitika sana kusoma maneno kwenye mtandao ambayo sijaamini yamesemwa kweli na mtu ambaye huko nyuma nilimheshimu sana, kwamba, „tunaomba Mungu ugonjwa huu uondoke, Corona ni sawa na wapinzani nchini“.

Nikayakumbuka maneno ya Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mheshimiwa Anna Mgwira aliyosema jana kwenye salamu zake baada ya ibada ya kumsimika Askofu Ludovic Joseph Minde kuwa Askofu wa Moshi. Alisema kwa kurudia rudia „tusaidieni (viongozi wa dini) kuwatengeneza watu wema wanaoheshimu utu wa watu na haki za watu“.

Nimejiuliza hivi kweli hiyo ni siasa safi binadamu kumwona au kumuita mwenzake ni sawa na kirusi cha Corona? Kumwona binadamu aliyeumbwa kwa sura na mfano wa Mungu ni tusi kubwa kwa Mungu mwenyewe kwamba Yeye Mungu naye ni sawa na kirusi cha Corona, kinachopaswa kuondoka!!

Halafu unamwomba huyo Mungu aondoe Corona?! Hapo ndipo tumefika Watanzania kweli!? Hiyo ndiyo sura ya „siasa ni uadui“. Mtu mnayetofautiana mtazamo au itikadi ni adui, ila kesho akibadili mtazamo akafuata wako anabadilika na kuwa lulu nzuri, rafiki, na binadamu kama wewe.

Jamani! Nawasihi Watanzania tujitahidi kupima maneno tunayozungumza hadharani kumhusu binadamu mwingine. Mtakatifu Yakobo anasema „Mtu asiyejikwaa katika kunena, huyo ni mtu mkamilifu, anaweza kuuzuia na mwili wake wote kama kwa lijamu“ (Yak 3:2). Na tena „ulimi ni uovu usiotulia, umejaa sumu iletayo mauti“ (3:8).

Namshauri aliyesema Corona ni sawa na wapinzani katika nchi hii kama ni muungwana aombe radhi kwa kumdhalilisha Mungu aliyemuumba binadamu kwa sura na mfano wake (Mwa 1:26-27). Kwa namna hiyo ataepusha mauti kwa heshima yake mwenyewe na na kwa siasa za kistaarabu.

Askofu Severine Niwemugizi
Jimbo Katoliki Rulenge-Ngara
 
Back
Top Bottom