Huko aliko huyo "Taratibu" ndiko kwenye corona wengi sana pamoja na yeye mwenyewe ambao wasipobadilika basi soon wataiangamiza nchi.Yeye mwenyewe huyo Hamfurei sura yake haieleweki bora hata hicho kirusi cha corona kina shape inayofanana na crown. In short aache dharau kwa sababu watu wakiamua kumkashfu yeye kwa jinsi alivyo atashindwa kutembea barabarani.
Yaani wewe kuandika ulishashindwa kabisaPepo Porepole
Don't make a promise you can't fulfill...
Ana korona kitambo yule jamaa we sikiliza sauti yake inavyotokaYeye mwenyewe huyo Hamfurei sura yake haieleweki bora hata hicho kirusi cha corona kina shape inayofanana na crown. In short aache dharau kwa sababu watu wakiamua kumkashfu yeye kwa jinsi alivyo atashindwa kutembea barabarani.
wanasemaga hakuna mwanaume mbaya ila uyo hapana.Yeye mwenyewe huyo Hamfurei sura yake haieleweki bora hata hicho kirusi cha corona kina shape inayofanana na crown. In short aache dharau kwa sababu watu wakiamua kumkashfu yeye kwa jinsi alivyo atashindwa kutembea barabarani.
Ukweli ni kwamba hata makanisa yanasikitisha! Kila leo yanaeleza yanavyotibu magonjwa. Hatujawahi kuona askofu huyu akisikitika, hata hili la majuzi la kukanyaga mafuta alikaa kimya.Wakuu Salaamu.
Askofu amesema haya yafuatayo:-
Nimesikitika sana kusoma maneno kwenye mtandao ambayo sijaamini yamesemwa kweli na mtu ambaye huko nyuma nilimheshimu sana, kwamba, „tunaomba Mungu ugonjwa huu uondoke, Corona ni sawa na wapinzani nchini“.
Nikayakumbuka maneno ya Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mheshimiwa Anna Mgwira aliyosema jana kwenye salamu zake baada ya ibada ya kumsimika Askofu Ludovic Joseph Minde kuwa Askofu wa Moshi. Alisema kwa kurudia rudia „tusaidieni (viongozi wa dini) kuwatengeneza watu wema wanaoheshimu utu wa watu na haki za watu“.
Nimejiuliza hivi kweli hiyo ni siasa safi binadamu kumwona au kumuita mwenzake ni sawa na kirusi cha Corona? Kumwona binadamu aliyeumbwa kwa sura na mfano wa Mungu ni tusi kubwa kwa Mungu mwenyewe kwamba Yeye Mungu naye ni sawa na kirusi cha Corona, kinachopaswa kuondoka!!
Halafu unamwomba huyo Mungu aondoe Corona?! Hapo ndipo tumefika Watanzania kweli!? Hiyo ndiyo sura ya „siasa ni uadui“. Mtu mnayetofautiana mtazamo au itikadi ni adui, ila kesho akibadili mtazamo akafuata wako anabadilika na kuwa lulu nzuri, rafiki, na binadamu kama wewe.
Jamani! Nawasihi Watanzania tujitahidi kupima maneno tunayozungumza hadharani kumhusu binadamu mwingine. Mtakatifu Yakobo anasema „Mtu asiyejikwaa katika kunena, huyo ni mtu mkamilifu, anaweza kuuzuia na mwili wake wote kama kwa lijamu“ (Yak 3:2). Na tena „ulimi ni uovu usiotulia, umejaa sumu iletayo mauti“ (3:8).
Namshauri aliyesema Corona ni sawa na wapinzani katika nchi hii kama ni muungwana aombe radhi kwa kumdhalilisha Mungu aliyemuumba binadamu kwa sura na mfano wake (Mwa 1:26-27). Kwa namna hiyo ataepusha mauti kwa heshima yake mwenyewe na na kwa siasa za kistaarabu.
Askofu Severine Niwemugizi
Jimbo Katoliki Rulenge-Ngara
Hivi Uhamiaji wanakwama wapi na huyu Mnyarwanda. Huyu anatumiwa na mkuu wa M23 ambaye anatafuta kaupenyo ili tu ili atuvulughe.
Nimesikitika sana kusoma maneno kwenye mtandao ambayo sijaamini yamesemwa kweli na mtu ambaye huko nyuma nilimheshimu sana, kwamba, tunaomba Mungu ugonjwa huu uondoke, Corona ni sawa na wapinzani nchini“.
Nikayakumbuka maneno ya Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mheshimiwa Anna Mgwira aliyosema jana kwenye salamu zake baada ya ibada ya kumsimika Askofu Ludovic Joseph Minde kuwa Askofu wa Moshi.
Alisema kwa kurudia rudia „tusaidieni (viongozi wa dini) kuwatengeneza watu wema wanaoheshimu utu wa watu na haki za watu“. Nimejiuliza hivi kweli hiyo ni siasa safi binadamu kumwona au kumuita mwenzake ni sawa na kirusi cha Corona?
Kumwona binadamu aliyeumbwa kwa sura na mfano wa Mungu ni tusi kubwa kwa Mungu mwenyewe kwamba Yeye Mungu naye ni sawa na kirusi cha Corona, kinachopaswa kuondoka!! Halafu unamwomba huyo Mungu aondoe Corona?!
Hapo ndipo tumefika Watanzania kweli!? Hiyo ndiyo sura ya, siasa ni uadui“. Mtu mnayetofautiana mtazamo au itikadi ni adui, ila kesho akibadili mtazamo akafuata wako anabadilika na kuwa lulu nzuri, rafiki, na binadamu kama wewe.
Jamani! Nawasihi Watanzania tujitahidi kupima maneno tunayozungumza hadharani kumhusu binadamu mwingine.
Mtakatifu Yakobo anasema „Mtu asiyejikwaa katika kunena, huyo ni mtu mkamilifu, anaweza kuuzuia na mwili wake wote kama kwa lijamu“ (Yak 3:2). Na tena, ulimi ni uovu usiotulia, umejaa sumu iletayo mauti“ (3:8).
Namshauri aliyesema Corona ni sawa na wapinzani katika nchi hii kama ni muungwana aombe radhi kwa kumdhalilisha Mungu aliyemuumba binadamu kwa sura na mfano wake (Mwa 1:26-27).
Kwa namna hiyo ataepusha mauti kwa heshima yake mwenyewe na na kwa siasa za kistaarabu.
Source: FB page yake
My take:
1. CCM kutokanusha kauli hii ni sawa na kubariki, ndio tuseme ni msimamo wa chama.
2. Tahadhari wasimtingishe tena askofu na zile saga za uraia na passport
We mwe..hu?Hivi Uhamiaji wanakwama wapi na huyu Mnyarwanda. Huyu anatumiwa na mkuu wa M23 ambaye anatafuta kaupenyo ili tu ili atuvulughe.
Uhamiaji Mfanyie kazi huyu boya ajaze FM7 na information zake mziprove. Tuondokane na kirusi huyu
Wawili hawa unaweza kusema ni kihelehele sana! They are experts of everything! Jack of all trades.Kwani kunatakiwa kuwe na limit ya waokuzungumza?
Nimesikitika sana kusoma maneno kwenye mtandao ambayo sijaamini yamesemwa kweli na mtu ambaye huko nyuma nilimheshimu sana, kwamba, tunaomba Mungu ugonjwa huu uondoke, Corona ni sawa na wapinzani nchini“.
Nikayakumbuka maneno ya Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mheshimiwa Anna Mgwira aliyosema jana kwenye salamu zake baada ya ibada ya kumsimika Askofu Ludovic Joseph Minde kuwa Askofu wa Moshi.
Alisema kwa kurudia rudia „tusaidieni (viongozi wa dini) kuwatengeneza watu wema wanaoheshimu utu wa watu na haki za watu“. Nimejiuliza hivi kweli hiyo ni siasa safi binadamu kumwona au kumuita mwenzake ni sawa na kirusi cha Corona?
Kumwona binadamu aliyeumbwa kwa sura na mfano wa Mungu ni tusi kubwa kwa Mungu mwenyewe kwamba Yeye Mungu naye ni sawa na kirusi cha Corona, kinachopaswa kuondoka!! Halafu unamwomba huyo Mungu aondoe Corona?!
Hapo ndipo tumefika Watanzania kweli!? Hiyo ndiyo sura ya, siasa ni uadui“. Mtu mnayetofautiana mtazamo au itikadi ni adui, ila kesho akibadili mtazamo akafuata wako anabadilika na kuwa lulu nzuri, rafiki, na binadamu kama wewe.
Jamani! Nawasihi Watanzania tujitahidi kupima maneno tunayozungumza hadharani kumhusu binadamu mwingine.
Mtakatifu Yakobo anasema „Mtu asiyejikwaa katika kunena, huyo ni mtu mkamilifu, anaweza kuuzuia na mwili wake wote kama kwa lijamu“ (Yak 3:2). Na tena, ulimi ni uovu usiotulia, umejaa sumu iletayo mauti“ (3:8).
Namshauri aliyesema Corona ni sawa na wapinzani katika nchi hii kama ni muungwana aombe radhi kwa kumdhalilisha Mungu aliyemuumba binadamu kwa sura na mfano wake (Mwa 1:26-27).
Kwa namna hiyo ataepusha mauti kwa heshima yake mwenyewe na na kwa siasa za kistaarabu.
Source: FB page yake
My take:
1. CCM kutokanusha kauli hii ni sawa na kubariki, ndio tuseme ni msimamo wa chama.
2. Tahadhari wasimtingishe tena askofu na zile saga za uraia na passport
Corona = Chadema?
Itakuwa alikuwa anatania..hapa hakuna utani kwenye siasa?
Ni binadamu wenye malezi duni pekee wanaoweza kuja na comment kama hii.
Sent using Jamii Forums mobile app