Askofu Niwemugizi asikitishwa na Kauli ya Humphrey Polepole kuwafananisha Wapinzani na Corona

Yeye mwenyewe huyo Hamfurei sura yake haieleweki bora hata hicho kirusi cha corona kina shape inayofanana na crown. In short aache dharau kwa sababu watu wakiamua kumkashfu yeye kwa jinsi alivyo atashindwa kutembea barabarani.
 
Well said Baba Askofu,siasa zinakera sana kama zinafanywa kihuni.

macson
 
Yeye mwenyewe huyo Hamfurei sura yake haieleweki bora hata hicho kirusi cha corona kina shape inayofanana na crown. In short aache dharau kwa sababu watu wakiamua kumkashfu yeye kwa jinsi alivyo atashindwa kutembea barabarani.
Huko aliko huyo "Taratibu" ndiko kwenye corona wengi sana pamoja na yeye mwenyewe ambao wasipobadilika basi soon wataiangamiza nchi.
 
Yeye mwenyewe huyo Hamfurei sura yake haieleweki bora hata hicho kirusi cha corona kina shape inayofanana na crown. In short aache dharau kwa sababu watu wakiamua kumkashfu yeye kwa jinsi alivyo atashindwa kutembea barabarani.
Ana korona kitambo yule jamaa we sikiliza sauti yake inavyotoka
 
Ukweli ni kwamba hata makanisa yanasikitisha! Kila leo yanaeleza yanavyotibu magonjwa. Hatujawahi kuona askofu huyu akisikitika, hata hili la majuzi la kukanyaga mafuta alikaa kimya.

Maaskaofu wasiingilie michezo isiyowahusu, yale yanayowahusu wanayanyamazia. Kila mchezo una mbinu zake. Askofu akitaka kutafsiri lugha ya kisiasa kwa kutumia biblia, ni upuuzi. Mwanasiasa naye akitaka kutafsiri mahubiri ya makanisa haya kwa kutumia taratibu za kisiasa, ni upuuzi mwingine.
 
Hivi Uhamiaji wanakwama wapi na huyu Mnyarwanda. Huyu anatumiwa na mkuu wa M23 ambaye anatafuta kaupenyo ili tu ili atuvulughe.
Uhamiaji Mfanyie kazi huyu boya ajaze FM7 na information zake mziprove. Tuondokane na kirusi huyu
 
We mwe..hu?
 
Inasikitisha kwa Askofu kusubiri mwanasiasa aonhee ndio atoe tamko! Kabla ya Polepole aliishaongea nini kuhusu Corona?
 
Shetani wameanza kujionyesha kupitia kwa pole pole
In God we Trust
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…