daza steven
JF-Expert Member
- Aug 30, 2016
- 359
- 358
Usiwe mkali kiongozi jamaa alitakiwa akujuze tu, nikuwa papa anazaidi ya mwezi amelifunga kanisa itali na amejifungia ndani hatoki nje ibada anafanyia ndaniYani ulivyo tutusa unataka mimi niwaze kama wewe ?
Kwani papa anashindwa nini kuingilia?
Yanayoendelea Italy sio Tanzania
Usije ukafiri unauwezo mkubwa wa kuyatafakari mambo kumbe umejaa ujinga tu kichwani mwako
Shika adabu yako usinizoee
Sent using Jamii Forums mobile app
Sam achana na huyu Lusuferi mwenye mguu mmoja anaye iga jina kwakujita ..... YetuHujioni ulivyokosa akili? Eti Papa aingilie kati. Yani umekaa kama kiroba hata hujui kinachoendelea huko alipo Papa.
Roma Locuta Est, Causa Finita Est = "Rome has spoken, the case is closed".Askofu angekaimisha ibada kwa shemasi haya ni maamuzi ya kidikteta
Waumini hawajashirikishwa
Papa aingilie kati
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiwe mkali kiongozi jamaa alitakiwa akujuze tu, nikuwa papa anazaidi ya mwezi amelifunga kanisa itali na amejifungia ndani hatoki nje ibada anafanyia ndani
Eti siyo Demokrasia!! Hivi unaelewa maana ya Kanisa? Hakuna demokrasia katika Kanisa Katoliki. Jifunze maana ya HIRAKIAAskofu angekaimisha ibada kwa shemasi haya ni maamuzi ya kidikteta
Waumini hawajashirikishwa
Papa aingilie kati
Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani kama una akili timamuAskofu angekaimisha ibada kwa shemasi haya ni maamuzi ya kidikteta
Waumini hawajashirikishwa
Papa aingilie kati
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti siyo Demokrasia!! Hivi unaelewa maana ya Kanisa? Hakuna demokrasia katika Kanisa Katoliki. Jifunze maana ya HIRAKIA
Roma Locuta Est, Causa Finita Est = "Rome has spoken, the case is closed".
Bia yetu. Ni bia gani mkuu? Leo umezitwika ngapi?
Mkuu achana naye. Ukiona majina kama BIA YETU, MAGONJWA MTAMBUKA, ujue hapo ni shidaNishakwambia huna akili na nimekuthibitishia kutokana na ujinga ulioshauri. Bad enough kubishana na mwehu kama wewe naona unanipotezea tu muda wangu.
Kweli kabisa. Hivi walishamrejeshea paspoti yake? Huyu ndio alitakiwa amrithi Pengo hapa Dar. Hongera sana Baba Askofu NiweMugizi.Linapokuja swala la maaskofu wasioyumba huyu ni mmoja wao misimamo yake ilipelekea mpaka akahojiwa uraia wake
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app