and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,398
- 36,406
Tuenende kwa hekima katika hiliAskofu huyu atakua shujaa wangu wa mwezi huu April -2020
Hongera sana Baba Askofu ,umeonyesha njia
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuenende kwa hekima katika hiliAskofu huyu atakua shujaa wangu wa mwezi huu April -2020
Hongera sana Baba Askofu ,umeonyesha njia
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena jimbo la lurenge linafika hadi chato na mkulu yupo kwenye maombi
Aombee sebuleni kwake au arudi Dar apambane na CovidTena jimbo la lurenge linafika hadi chato na mkulu yupo kwenye maombi
Chato haipo Jimbo hili IPO huko Geita.Hv kumbe Chato ipo jimbo hili?? Kumbe kuimega kutoka Kagera hakukusaidia kuibadilisha jimbo Katoliki?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kutokana na hiki ulichoandika hapa huoni Askofu nae kuna mamlaka anatakiwa kuisikiliza?Umenikumbusha mbali. Wakati ule nilipokuwa nawakikisha vijana, wakati wa kikao cha Baraza la Kichungaji la jimbo ambalo Mwenyekiti alikuwa Baba Askofu, wajumbe ni ngazi ya jimbo na mapadre wakuu wa dekania, kulikuwa na ajenda ya kukea miito mitakatifu. Baada ya maoni ya sisi wajumbe wote kusikilizwa, mwishowe Baba Askofu, bila ya kujali wangapi mmeshauri nini, alisema, "Roma Lacuta" kisha akaeleza kitakachotakiwa kufanywa.
Ni kweki, kesho parokia zote za Chato tusitegemee Misa labda ya kulazimisha.Tena jimbo la lurenge linafika hadi chato na mkulu yupo kwenye maombi
Acha ujinga kakueleza ukweli, ulipaswa umwambie asanteYani ulivyo tutusa unataka mimi niwaze kama wewe ?
Kwani papa anashindwa nini kuingilia?
Yanayoendelea Italy sio Tanzania
Usije ukafiri unauwezo mkubwa wa kuyatafakari mambo kumbe umejaa ujinga tu kichwani mwako
Shika adabu yako usinizoee
Sent using Jamii Forums mobile app
Askofu angekaimisha ibada kwa shemasi haya ni maamuzi ya kidikteta
Waumini hawajashirikishwa
Papa aingilie kati
Sent using Jamii Forums mobile app
Chato haipo Jimbo hili IPO huko Geita.
Jimbo hili Lina wilaya ya ngara na Biharamuro zote za kagera
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika viongozi wanaojali waumini au wananchi huyo Askofu ni namba moja Tanzania. Ubarikiwe AskofuKanisa Katoliki Jimboni Rulenge-Ngara, wamesitisha kabisa Ibada/misa. Watu wasali nyumbani! Pia amewataka waumini wajikinge na COVID-19 na kuchukua tahadhari
Kanisa Katoliki Jimbo la Rulenge-Ngara limesema limesitisha Ibada za Misa, maadhimisho mengine yanayokusanya Waumini wengi Kanisani na sala za Jumuiya kwa muda wa mwezi mmoja kuanzia Aprili 19, 2020
Askofu Severine Niwemugizi wa Jimbo hilo amesema uamuzi huo umefikiwa baada ya kutafakari alama za nyakati na kujifunza kutoka kwa watu wa Ulaya, Marekani na nchi za jirani na hatua ambazo Baba Mtakatifu alizichukua kwa kutoa maelekezo kwa Maaskofu Wakatoliki Duniani na namna ya kuadhimisha Ibada
Amesema pamoja na kumshukuru Rais Magufuli kutotoa amri ya kufunga Makanisa na Misikiti, akihimiza kufanya ibada kumuomba Mungu atunusuru na janga hili, kama Mchungaji wa Jimbo la Rulenge-Ngara ameamua kuchukua uamuzi huo
Aidha, Askofu Niwemugizi amesema pale itakapowezekana wataomba redio Kwizera irushe adhimisho la Misa fupi na Waamini wafuatilie redioni. Baada ya mwezi kuisha Kanisa litaangalia hali ilivyo ili kama iliongeze muda
Pia, amewataka mapadre kuadhimisha misa peke yao kwa niaba ya waumini kuwaombea na kuiombea dunia ili Mungu atunusuru na #COVID19 hili na kuagiza sala za Jumuiya kufanyika ndani ya familia kwa familia moja moja
View attachment 1422602
Ngara sio Rome. Ni Askofu wa ngara ameamua hivyo.Roma Locuta Est, Causa Finita Est = "Rome has spoken, the case is closed".
AngalizoSafi sana,huu ndio utumishi wa Mungu tunaouhitaji.
Better late than never.
Waumini katika maeneo mengine, mjiongeza,msisubiri taarifa kama hii kwani si kila kiongozi wa dini atafanya hivi katika maeneo yenu.
Viongozi wa madhehebu mbalimbali(RC,KKKT.n.k) wanaokutana kutoa matamko ya pamoja(waraka) kama ya kukemea maovu,kukemea wanasiasa,n.k,walipaswa kuwa wamekutana na kuja na tamko kama hili; hivyo, tunatumai tangazo hili litatumika kama mfano kwa viongozi wengine wa dini waliobaki.
Baba Askofu,katika hili,umevaa viatu vilivyowapwaya wengi wakiwemo viongozi wa dini na wasio viongozi wa dini.
Hongera sana Baba Askofu!
AiseeAskofu angekaimisha ibada kwa shemasi haya ni maamuzi ya kidikteta
Waumini hawajashirikishwa
Papa aingilie kati
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimejikuta nimecheka kwa nguvuPapa mwenyewe sahivi anachungulia habari za Corona kwenye katundu kadogo ka binocular, leo umwambie habari za migogoro yeye haogopi corona?
Papa taarifa anayo maana nayeye kanisani anakuwa peke yakeNakubaliana nae kwa kweli hii ya kusema mita moja sijui nyenyenye hapana bora hii
Sent using Jamii Forums mobile app