Hakika, apewe Nishani ya Amani kama aliyopewa Askofu Desmond Tutu , huyu ameokoa Roho za watu wengi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu ni wa kupigania kuipata Nobel.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika, apewe Nishani ya Amani kama aliyopewa Askofu Desmond Tutu , huyu ameokoa Roho za watu wengi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lini ulisikia kuna uchaguzi wa kumchagua paroko au Askofu wa katoliki?Papa alishatoa waraka kwa Askofu Mahalia kuangalia hali ya eneo lake na kuamua kama asitishe ibada au ziendelee.
Are you sober?Mkuu wa nchi ametangaza siku tatu za maombolezo kwa ajiri ya nchi kama mfalme wa Ninawi alivyofanya.Unafahamu fika kuwa kila utawala hapa duniani unatoka kwa Mungu, uwe mzuri au Mbaya.
Neno la mfalme huwa linaheshimika na Mungu analiheshimu. Rais wetu Magufuli amenena maneno mema juu ya Mungu na hii lazima Mungu atakuwa upande wake regadless ana dhambi au hana kwa sababu ameonyesha unyenyekevu kuliko wewe Askofu .
Mwenye unyenyekevu atainuliwa tu lakini mwenye kiburi atashushwa wakati Mkuu wa nchi anahimiza watu kuomba wewe Askofu unatangaza waumini wasiende kanisani. Unafikiri ndiyo umewapenda waumini wako?
Umwonyesha udhaifu mkubwa wa imani, hufai kuwa askofu. Umechanganya imani na siasa hufai kuongoza kondoo. Umemdhalilisha aliyekufia msalabani kwa sababu umeenda kinyume na matakwa ya mfalme wa nchi(rais) umeenda kinyume na Mungu, umeenda kinyume na Biblia.
Mbona sasa hao waumini wako ni wa mfalme wa nchi ambaye yeye Amemheshimu aliyezifanya mbingu na nchi. Kanisa tujifunze kuheshimu katiba, tujifunze kuendana na Biblia. Moyoni umejaa chuki halafu unajifanya mtumishi wa Mungu.Mungu yupi huyo labda miungu.
Nashauri ukatubu wewe uendaye kinyume na matakwa ya mfalme vinginevyo waweza kuwa mfano wa manabii ya baali kipindi cha Elia Mtishbi.
Unajua uasi?Hatuwezi kushimu maamuzi hiovyo kama yaha. Kiongozi wa kiroho alitakiwa kuwa mfano wa kushimu mawazo na maamuzi ya mkuu wa nchi。jino kwa jino hatuwezi kumheshimu mtu wa aina hii ambaye anawapelekea waumini wake kwenye uasi.
Huyu ni wa kupigania kuipata Nobel.
Stop praying while playingMpaka sasa itali wameshazika zaidi ya 20 elfu.hapo aliyeshinda ni Mungu au shetani?
Nilijiandikia coz sikumpata wakunielewesha, ungekuwa na akili nzuri ungetambua hilo mapema, ndio maana comments zangu juu zilitawaliwa na maswali.Muwe mnauliza taratibu jinsi zilivyo ndani ya kanisa katoliki sio mtu unajiandikia tu kitu usichokielewa.
Askofu wa kikatoliki huwa anapewa nguvu ya kufanya maamuzi katika eneo analoliongoza bila kuingiliwa kimaamuzi na askofu mwingine.
Kardinali ni cheo cha heshima au kwa lugha nyepesi ni mshauri wa papa hivyo hana uwezo wa kutengua maamuzi ya askofu yeyote nchini Tanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie wasomi anzeni mchakato, acha dunia imtambue, ikiwezekana hata jf tumtambue. Na kama wapo pia waliofunga milango ya misikiti kipindi hiki cha Corona tuwatambue, wameokoa roho za watu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Cha muhimu umeelewaNilijiandikia coz sikumpata wakunielewesha, ungekuwa na akili nzuri ungetambua hilo mapema, ndio maana comments zangu juu zilitawaliwa na maswali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu YEHODAYA, Italia imezika mapadre 30 kwa sababu ya hii corona, huo ukatoliki umeanzia Italia lakini msiba walioupata ni mkubwa sana.Mungu aliagiza watu wasiache kukusanyika kumeabudu huyo askofu ni Nani Wa kutengua alichoagiza Mungu? Hana mamlaka hayo
Kukusanyika kuabudu Mungu ndie kaagiza yeye Nani Wa kukataa.
Raisi yuko sahihi sababu hayuko juu ya Mungu na kaona asitdngue alichoagiza Mungu
Raisi anaijua dini kuliko huyo Askofu
Kanisa sio ofisi ya mkuu wa mkoa kwamba itekeleze maagizo ya Rais.Acha ujinga, kati ya rais na mtumishi wa Mungu nani anapaswa kusikilizwa zaidi? Rais akitoa amri wanawake wote wanavyoingia kanisani wavae suruali za jinsi utatii wakati unajua ni makosa kibiblia mwanamke kuvaa suruali?
Askofu kashaongea na Mungu wake kampa hekima hiyo sasa wewe na Mungu nani mkubwa?au Magufuli ni Mungu wako?
Sent using Jamii Forums mobile app
Walokole bwana.Si uende wewe mbele za mungu kwani unahitaji cheti mkuu.Ugonjwa huu ni wa hasira ya Mwenyezi Mungu au vipi.kama ni wa Mungu kwa Nini na Nini kifanyike au jibu ni kutokwenda makanisani kweli,nchi hi imekosa hata mtu mmoja wa kuongea na Mungu mbona Mambo yalipo waendea vibaya Waisrael walimtuma Mussa leo hakuna hata mmoja kweli badala yake tunakimbia uso wa Mungu kwa kuwaambia watu wasiende makanisani na misikitini.
Rais ana maono Tena Sana lakini kwa Nini watu wasitubu kwa makosa mbalimbali tuyomkosea Mungu au my akisema hivyo amefanya kosa kwa vile wote tumepungukiwa ukweli nchi hi umekuwa adimu mno,Mungu c kiziwi Wala kipofu kiasi hiki.tumekosa sauti ya mtu mwadirifu kweli? Hatuwezi kuomba msamaha Kama hatuna kosa na Kama hatuna kosa kwa Nini tupigwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wachungaji na manabii wa mwendo kasi mnaona njaa imebisha hodi mnapambania sadaka. So far Mungu yupo kila mahali na kuwasiliana na mungu ni suala la kiimani sio suala la jengo.Mwoga asiye na imani anaogopa kuwa Mungu atampa corona kwenye ibada!!!!! Kazi ya Mungu sio kugawa corona ibadani lioga hilo halina imani ndio maana limejifungia ndani.
Nenda kanywe bia huko bwana
Gwajima akale wapi huoni anavyohaha huko anavyoumbuka?Kinachosikitisha ni huu uamuzi muhimu kabisa kuachiwa viongozi wa dini wenyewe watumie utashi wao!
Je makanisa ya watu binafsi yatafungwa kwa hiari ilhali wanahubiri Yesu hashindwi?
Wewe ni miongoni mwa vichaa wengi wanaopatikana ndani ya nchiAskofu angekaimisha ibada kwa shemasi haya ni maamuzi ya kidikteta
Waumini hawajashirikishwa
Papa aingilie kati
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku 7 hadi 15.Kwa hiyo usha confirm kwamba pasaka ndo chanzo cha idadi ya wagonjwa kuongezeka ghafla....incubation ya COVID-19 ni siku ngapi kwani?