Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Kwa tunaomjua kwa ukaribu, huyu ndiye Askofu mpumbavu kuliko Askofu yoyote kutokea Tanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais kasema nyumba za ibada zisifungwe watu waende kuabudu na kumuomba Mungu aiponye nchi sawa sawa na maandiko:
2 mambo ya nyakati : Mlango 7
14 ikiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu, watajinyenyekesha, na kuomba, na kunitafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya; basi, nitasikia toka mbinguni, na kuwasamehe dhambi yao, na kuiponya nchi yao.
Alafu kiongozi wa dini anatoa hamri ndivyo sivyo! Ama kweli vibaraka wa mabeberu wamo pia ndani ya nyumba za kuabudia
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani hajatoa maamuzi haya kumpinga mkuu wa nchi. Hata vatican wenyewe waumini hawaji kanisani. Ndio kusema wanampinga waziri mkuu wa italy? Hapana?Hatuwezi kushimu maamuzi hiovyo kama yaha. Kiongozi wa kiroho alitakiwa kuwa mfano wa kushimu mawazo na maamuzi ya mkuu wa nchi。jino kwa jino hatuwezi kumheshimu mtu wa aina hii ambaye anawapelekea waumini wake kwenye uasi.
Kwa hiyo wangeenda kanisan wasingekufa ?Mpaka sasa itali wameshazika zaidi ya 20 elfu.hapo aliyeshinda ni Mungu au shetani?
Kwamba ameiba au?Sheria ichukue mkondo wake na achukuliwe hatua kali..
Mungu kaagiza kuwa msiache kukusanyika huyo Askofu Nani amuige yeye anasema marufuku kukusanyika kwenye ibada!!! Mungu ni mkubwa kuliko huyo Askofu mpiga marufuku watu kukusanyika Ibadan. hakuna cha kuiga kwa huyo askofu mpagani
Ni mpagani tu huyo AskofuKwa tunaomjua kwa ukaribu, huyu ndiye Askofu mpumbavu kuliko Askofu yoyote kutokea Tanzania.
Wewe shetani hauwi,,you get your fact mixed..Mungu mwenyewe kafurahia hatua za mteule wake wa kiroho, ila shetani muuaji kachukia sana.
Mungu aliagiza watu wasiache kukusanyika kumeabudu huyo askofu ni Nani Wa kutengua alichoagiza Mungu? Hana mamlaka hayoAcha ujinga,kati ya rais na mtumishi wa Mungu nani anapaswa kusikilizwa zaidi?rais akitoa amri wanawake wote wanavyoingia kanisani wavae suruali za jinsi utatii wakati unajua ni makosa kibiblia mwanamke kuvaa suruali?
Askofu kashaongea na Mungu wake kampa hekima hiyo sasa wewe na Mungu nani mkubwa?au Magufuli ni Mungu wako?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hakuna mtu mchafu wa roho na mtendo kama huyu Askofu Niwemugizi. Hata uaskofu achilia mbali upadre sijui alivipataje!!!Ni mpagani tu huyo Askofu
Kwa tunaomjua kwa ukaribu, huyu ndiye Askofu mpumbavu kuliko Askofu yoyote kutokea Tanzania.
Askofu angekaimisha ibada kwa shemasi haya ni maamuzi ya kidikteta
Waumini hawajashirikishwa
Papa aingilie kati
Sent using Jamii Forums mobile app
Pengo amekuwa akitoa matamko mara kadhaa kuonesha na yeye na hadhi yake.Kwa utaratibu wa Roman Catholic Church, Askofu haripoti kwa Kadinali. Kadili kazi yake kubwa ni kumchagua Papa.
Mara nyingi kadili huwa pia ni Askofu japo siyo lazima. Unaweza kuwa kadinali na usiwe Askofu wa Jimbo lolote.
Ulikwishawahi kusikia jambo mara moja Kadinali Pengo akiwapa maelekezo maaskofu?