Askofu Niwemugizi: Nyerere angekuwapo angewacharaza CCM viboko

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Askofu Severine Niwemugizi pasipo na kumung'unya maneno amefunguka:

“Mwalimu Nyerere alikuwa muumini wa uhuru wa mawazo, mijadala na kujenga hoja. Alipenda kuona jamii ya watu wanajadiliana kwa hoja hata pale wanapokinzani kimtazamo. Hakupenda hoja za upande mmoja ndiyo maana licha ya wenzake ndani ya CCM kupinga mfumo wa vyama vingi, yeye alishauri uruhusiwe,”

Amesema askofu huyu kuwa kwa hakika angekuwapo bakora ziliwahusu sana watu CCM na huko serikalini.

Bila shaka hata mheshimiwa jiwe angekuwapo asingenusurika!

Source:

Askofu Niwemugizi: Mwalimu Nyerere angekuwepo, angecharaza watu viboko
 
“Mwalimu Nyerere (Baba wa Taifa Julius Kambarage) angekuwepo na kushuhudia yanayotokea nchini kwa sasa angepasuka moyo, angepiga watu viboko hadharani na pengine angemwomba Mungu aichukue roho yake kama alivyofanya Nabii Musa nikitumia mfano wa maandiko ya Biblia Takatifu.”

Hiyo ni kauli ya Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Rulenge-Ngara, Severine Niwemugizi akizungumzia miaka 22 ya kifo cha Hayati Julius Kambarage Nyerere.

Kiongozi huyo wa kiroho anasema Mwalimu Nyerere aliyefariki dunia Oktoba 14 mwaka 1999 katika Hospitali ya Mtakatifu Thomas nchini Uingereza alikokuwa anatibiwa, angekuwa hai hadi leo, angewaadhibu hadharani baadhi ya viongozi kuanzia ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) hadi serikalini kutokana na mmomonyoko wa maadili.
“Uadilifu wa baadhi ya viongozi waliokabidhiwa dhamana ya ofisi za umma unatiliwa mashaka sana ndiyo maana matumizi mabaya ya fedha na rasilimali za umma umekuwa jambo la kawaida. Tumemsikia Rais Samia Suluhu Hassan akitishia kuonyesha rangi zake halisi iwapo fedha za kukabiliana na athari za Uviko-19 zitatumika vibaya,” anasema.

My Take
Leo Nyerere amepuuzwa kwa vitendo na utawala. Kwenda kujikusanya Chato na kuimba nyimbo na kumsifu Magufuli wakamsahau Mwalimu
 
Meli ya nyqn haijawah kubeba akil hata siku moja siku zote inqbeba mahindi
 
Askofu Severine Niwemugizi pasipo na kumung'unya maneno amefunguka:

“Mwalimu Nyerere alikuwa muumini wa uhuru wa mawazo, mijadala na kujenga hoja. Alipenda kuona jamii ya watu wanajadiliana kwa hoja hata pale wanapokinzani kimtazamo. Hakupenda hoja za upande mmoja ndiyo maana licha ya wenzake ndani ya CCM kupinga mfumo wa vyama vingi, yeye alishauri uruhusiwe,”

Amesema askofu huyu kuwa kwa hakika angekuwapo bakora ziliwahusu sana watu CCM na huko serikalini.

Bila shaka hata mheshimiwa jiwe angekuwapo asingenusurika!

Source:

Askofu Niwemugizi: Mwalimu Nyerere angekuwepo, angecharaza watu viboko
Mungu mbariki baba askofu
 
Ni hayati Nyerere aliyevifuta vyama vya upinzani ule mwanzo wa KULIJENGA TAIFA.....kwa kuogopea "miluzi mingi humpoteza mbwa".....
 
Tusishangae tukisikia Askofu amekamatwa kwa kutoa kauli iliyojaa uchochezi. Alichokisema ni kweli tupu na hakuna uchochezi wowote ule.

Askofu Severine Niwemugizi pasipo na kumung'unya maneno amefunguka:

“Mwalimu Nyerere alikuwa muumini wa uhuru wa mawazo, mijadala na kujenga hoja. Alipenda kuona jamii ya watu wanajadiliana kwa hoja hata pale wanapokinzani kimtazamo. Hakupenda hoja za upande mmoja ndiyo maana licha ya wenzake ndani ya CCM kupinga mfumo wa vyama vingi, yeye alishauri uruhusiwe,”

Amesema askofu huyu kuwa kwa hakika angekuwapo bakora ziliwahusu sana watu CCM na huko serikalini.

Bila shaka hata mheshimiwa jiwe angekuwapo asingenusurika!

Source:

Askofu Niwemugizi: Mwalimu Nyerere angekuwepo, angecharaza watu viboko
 
Ni hayati Nyerere aliyepata kusema kuwa HAWABISHANII DEMOKRASIA.....bali baadhi ya mambo ya demokrasia....ikumbukwe kuwa haya mataifa machanga hayawezi kuCOPY and PASTE kila umbile la demokrasia ya NCHI ZA MAGHARIBI....sababu ziko lukuki....

Mathalani.....Taasisi nyingi tajiri huwa zinazisaidia TAASISI ZA KIAFRIKA....TAASISI ZA HAKI ZA BINADAMU kuwajengea uwezo wa KUITAMBUA demokrasia ila nyuma yake pia zinafadhili "REGIME CHANGE"...hapa ndipo TAWALA NYINGI ZA AFRIKA ZINAPOKUWA HAZIELEWANI NA TAASISI HIZO....NA TAASISI HIZO NAZO HUWA ZINAONA ZINAONEWA....

Mifano iko mingi tu....kule Indonesia mwaka 1965 kulitokea mapinduzi ya kumuingiza SUHARTO....ikaja kujulikana kuwa ni TAASISI TAJIRI ZA MAREKANI kuwa nyuma ya yote Yale....na baadhi ya TAASISI HIZO zimekuwa zikizichangia sana NGO's zilizopo hata hapa TANZANIA.....🤣🤣
 
Ila Kaka una kazi sana,unatetea kwa kila namna Ila wadau hawakuelewi unaeleweka na Wana lumumba wenzio tu.jitafakari....🤣🤣🤣🤣
 
Tusishangae tukisikia Askofu amekamatwa kwa kutoa kauli iliyojaa uchochezi. Alichokisema ni kweli tupu na hakuna uchochezi wowote ule.

Inasikitisha kuwa anaweza kusukwa sukwa kwa ukweli aliosema.

Ninakazia:

"Alichokisema ni kweli tupu na hakuna uchochezi wowote ule."
 
Ila Kaka una kazi sana,unatetea kwa kila namna Ila wadau hawakuelewi unaeleweka na Wana lumumba wenzio tu.jitafakari....🤣🤣🤣🤣
Hata nikiweka ukweli ninaambiwa ninatetea duuh 😳🤣

Haya mkulungwa 🤣
 
Back
Top Bottom