Wengi wangechapwa fimbo sana, eti chato inakamilisha vigezo vya kuwa mkoa, na Morogoro wasemeje?
Kwahiyo, kumbe hata wale waliokuwa wanacharazwa bakora enzi za JPM walikuwa sahihi? Viva JPM!!!!!
Nadhani siasa inamtesa mama, Geita ilipewa mkoa sidhani hata kama miaka 10 imepitaAngekamilisha iwe nchi kabisa
kwaniniDuuh! Ningefurahi kuona Samia, Mpango na Majaliwa wanakula mboko
Mungu mbariki baba askofuAskofu Severine Niwemugizi pasipo na kumung'unya maneno amefunguka:
“Mwalimu Nyerere alikuwa muumini wa uhuru wa mawazo, mijadala na kujenga hoja. Alipenda kuona jamii ya watu wanajadiliana kwa hoja hata pale wanapokinzani kimtazamo. Hakupenda hoja za upande mmoja ndiyo maana licha ya wenzake ndani ya CCM kupinga mfumo wa vyama vingi, yeye alishauri uruhusiwe,”
Amesema askofu huyu kuwa kwa hakika angekuwapo bakora ziliwahusu sana watu CCM na huko serikalini.
Bila shaka hata mheshimiwa jiwe angekuwapo asingenusurika!
Source:
Askofu Niwemugizi: Mwalimu Nyerere angekuwepo, angecharaza watu viboko
Mungu mbariki baba askofu
Askofu Severine Niwemugizi pasipo na kumung'unya maneno amefunguka:
“Mwalimu Nyerere alikuwa muumini wa uhuru wa mawazo, mijadala na kujenga hoja. Alipenda kuona jamii ya watu wanajadiliana kwa hoja hata pale wanapokinzani kimtazamo. Hakupenda hoja za upande mmoja ndiyo maana licha ya wenzake ndani ya CCM kupinga mfumo wa vyama vingi, yeye alishauri uruhusiwe,”
Amesema askofu huyu kuwa kwa hakika angekuwapo bakora ziliwahusu sana watu CCM na huko serikalini.
Bila shaka hata mheshimiwa jiwe angekuwapo asingenusurika!
Source:
Askofu Niwemugizi: Mwalimu Nyerere angekuwepo, angecharaza watu viboko
Ila Kaka una kazi sana,unatetea kwa kila namna Ila wadau hawakuelewi unaeleweka na Wana lumumba wenzio tu.jitafakari....🤣🤣🤣🤣Ni hayati Nyerere aliyepata kusema kuwa HAWABISHANII DEMOKRASIA.....bali baadhi ya mambo ya demokrasia....ikumbukwe kuwa haya mataifa machanga hayawezi kuCOPY and PASTE kila umbile la demokrasia ya NCHI ZA MAGHARIBI....sababu ziko lukuki....
Mathalani.....Taasisi nyingi tajiri huwa zinazisaidia TAASISI ZA KIAFRIKA....TAASISI ZA HAKI ZA BINADAMU kuwajengea uwezo wa KUITAMBUA demokrasia ila nyuma yake pia zinafadhili "REGIME CHANGE"...hapa ndipo TAWALA NYINGI ZA AFRIKA ZINAPOKUWA HAZIELEWANI NA TAASISI HIZO....NA TAASISI HIZO NAZO HUWA ZINAONA ZINAONEWA....
Mifano iko mingi tu....kule Indonesia mwaka 1965 kulitokea mapinduzi ya kumuingiza SUHARTO....ikaja kujulikana kuwa ni TAASISI TAJIRI ZA MAREKANI kuwa nyuma ya yote Yale....na baadhi ya TAASISI HIZO zimekuwa zikizichangia sana NGO's zilizopo hata hapa TANZANIA.....🤣🤣
Tusishangae tukisikia Askofu amekamatwa kwa kutoa kauli iliyojaa uchochezi. Alichokisema ni kweli tupu na hakuna uchochezi wowote ule.
Hata nikiweka ukweli ninaambiwa ninatetea duuh 😳🤣Ila Kaka una kazi sana,unatetea kwa kila namna Ila wadau hawakuelewi unaeleweka na Wana lumumba wenzio tu.jitafakari....🤣🤣🤣🤣
Ila Kaka una kazi sana,unatetea kwa kila namna Ila wadau hawakuelewi unaeleweka na Wana lumumba wenzio tu.jitafakari....🤣🤣🤣🤣