Askofu Niwemugizi: Nyerere angekuwapo angewacharaza CCM viboko

Hata nikiweka ukweli ninaambiwa ninatetea duuh 😳🤣

Haya mkulungwa 🤣
Imani ya wengi haipo upande wako ni vyema unaposimamia usichokielewa Mana unakuwa hujielewi 😂😂😂😂
Mr guluguja🤣🤣🤣🤣
 
Imani ya wengi haipo upande wako ni vyema unaposimamia usichokielewa Mana unakuwa hujielewi 😂😂😂😂
Mr guluguja🤣🤣🤣🤣
🤣🤣Kwani humu JF tunaishi kiimani?!!kwa hiyo asiye na ufuasi mkubwa ni mwongo na guluguja?!! Ha ha ha
 
🤣🤣Kwani humu JF tunaishi kiimani?!!kwa hiyo asiye na ufuasi mkubwa ni mwongo na guluguja?!! Ha ha ha
🤣🤣🤣🤣Aiseeh guluguja ni guluguja tu,sawa mkuu kuukubali ujinga ni ujinga unayoandika (unayoyatetea) unahitaji Imani ya wachahe Ila Kama hata wachache hawakuamini kumbe unaandika kwa maono yako shauli yako. Piga kazi piga kaziii.
 
Wapi nimeandika maoni yangu?!!!

Kuhusu hizo taasisi zinazofadhiliwa na akina FORD?!!! Khaaaa😳😳🤣
 
Nyerere ana sura mbili wa madarakani na wa baada ya madaraka.Anazungumza yupi
 
Wapi nimeandika maoni yangu?!!!

Kuhusu hizo taasisi zinazofadhiliwa na akina FORD?!!! Khaaaa😳😳🤣
Kila kurasa inayoizungumzia chama Cha mapinduzi tofati nakukuta na tetezi zako zakijinga
 
Kila kurasa inayoizungumzia chama Cha mapinduzi tofati nakukuta na tetezi zako zakijinga
Jambo lolote asilolipenda mtu huweza likawa ni la kijinga mkuu....

CCM inajitetea.....
 
Nyerere ana sura mbili wa madarakani na wa baada ya madaraka.Anazungumza yupi

Binadamu objective si aliye na gubu. Si king'ang'anizi. Hawezi jitanabaishw kuwa jiwe kwa kutokusikia kwake.

Binadamu objective hukiri mapungufu yake, hujifunza kwa wengine, husikiliza, huyatambua madhila ya watu wake, siyo mwongo, ni mwenye huruma, si mwuaji, si dhulumati nk:

Ya office za 19bn/- nayaweka kwenye fridge bado.
 
Haki HAIPINDISHWI wewe!!! Tia akili kichwani!!!! Acha kujitoa ufahamu eti huoni dhuluma na udhalimu wa kutisha unaofanywa na genge la wahuni wa maccm.

Duuh 🤣🤣

BAK dunia haizunguki miguuni petu.....
 
Haki HAIPINDISHWI wewe!!! Tia akili kichwani!!!! Acha kujitoa ufahamu eti huoni dhuluma na udhalimu wa kutisha unaofanywa na genge la wahuni wa maccm.
Haki gani uizungumzayo?!!

Kwa hiyo kuna dola zina hiyo haki uitafutayo?!!
 
Sahihi Baba ASKOFU
 
Mi natofautiana na wengi nyerere ndo chanzo cha matatizo mengi tuliyo nayo kumsifia bila kumchallenge ni upumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…