Askofu Niwemugizi: Nyerere angekuwapo angewacharaza CCM viboko

Yaani kaivamia Zanzibar Na kuuwa zaidi ya watu 10000 Na mpaka Leo haijakaa sawa inadidimia kwa mzimu Wake wa CCM, wewe unamuona ni mtu wa maana ??
 
Huyu Askofu kasahau historia Ina maana ajui yaliyomkuta tutemeke sanga,kassanga tumbo,kambona,bibi titi, mohamed seif,james mapalala,nk.Nyerere alikuwa ni cold black dikteta na sio pure blood dikteta.

Madikteta wote hutofautiana.

Mwalimu Nyerere alipunguza mshahara wake kwa uzalendo

Wa leo wenye kujenga viwanja vya ndege Chatto na Makunduchi

Wenye kuhodhi air bus nzima kwa matumizi binafsi

Wenye kuambatana chopper juu wakienda na barabara

Wenye kutuongezea tozo na kodi hali haziwahusu

Hivi Ben Azory Lijenje wako wapi?

Waliomwua Mawazo wako wapi?

Nani walikuwa kwenye viroba?
 
Ninakazia:

"muumini wa CCM ya Nyerere hawezi kuwa muumini wa CCM hizi tunazoziona."

Unaelewa maana yake?
Nami nakazia; hakuna tofauti ya misingi ya CCM ya mwaka 1977 na CCM ya October 14, 2021. Ni hivyo tu yaani.
Uko nje ya mada ya baba askofu.

CCM ya Nyerere si ya kununua wapinzani.

CCM ya Nyerere si ya ofisi za 19bn/-

CCM hawa si huyu

Mwalimu Nyerere alipunguza mshahara wake kwa uzalendo

Tunajivunia Nyerere lakini si CCM.
Haaaah...sasa angalau umekuja ktk hoja nyingine tofauti na CCM ya Nyerere na CCM ya sasa. Naweka sawa; misingi ya CCM ni ileile ya mwaka 1977 na sasa.

Hii hoja yako ya pili sasa, nayo inahitaji uthibitisho.

Tatu, kama ni kuzungumzia misingi ya Mwalimu ktk maadili na miiko ya uongozi, basi inagusa hadi wapinzani. Kwani Mwalimu alitaka CCM na vyama vya upinzani vizingatie miiko na maadili ya uongozi, utu, demokrasia , utaifa, uzalendo na kulinda Uhuru wetu.
 

Hoja zako peleka Chatto, Lumumba na Makunduchi.

Muda ni mali kubishana for the sake of argument.

Kwani hata pole pole au Bashiru wanakubaliana nawe hii ni CCM ya Nyerere?
 
Hao walikuja baada yake ni matokeo ya siasa zake.
Aliwalea mwenyewe kufanya hayo. Yeye mwenyewe aliwauwa. Karume, Hanga, Othman Sharrif Na maelfu ya Wazanzibari

Huo ndiyo utetezi wao?
 
Nyerere yeye Kama Nani? Magufuli ni bora kuliko huyo nyerere
 
Nyerere Aliua watu kibao, aliwaweka watu kizuizini! Halafu mnapiga kelele eti nyerere nyerere nendeni kaburini kwake mkamuabudu! Mdini kupindukia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…