Askofu Nyaisonga avishangaa Vyama vya Upinzani kususia uchaguzi. Ahimiza waumini kujitokeza kupiga kura na kuchagua viongozi

TEC imekuwa kigango cha CCM

Uyo raisi wa TEC apewe kadi ya uanachama wa CCM
 
Walizoeza kuishi kula kwa kunyonga,vya kuchinja hawaviezi.
 
Naona askofu umeamua kujitokeza kutetea ujinga wako
 
Wee jamaa ni mpuuzi sana yaani wapinzani wafanye ujinga kama mnaofanya wakununua watu kisha mnasema wanaunga juhudi zenu anyway Africa haina dalili yakuishiwa wajinga
 
Taasisi ya Kanisa katoriki Tanzania kuweni makini sana.

Kumbukeni hata walioandaa mashtaka feki ya Yesu Kristo mbele ya Pirato ili tuwe walikuwa ni Makuhani...yaani wakuu wa dini.

Kubariki dhuruma ni dhambi kubwa mno.
 
Kutoa sadaka hakuhusiani na upuuzi wa hao maaskofu maana sadaka ni agano la MTU na Mungu wake ushauri wangu watu wanapoenda kwenye nyumba za Ibada akili wasiziache nyumbani waende nazo kwenye Ibada itasaidia
 
Amefananisha jiwe na musolini kwa namna anavyowatumia watawala wa kathoric kuumiz watu
 
Kanisa katoliki limejaa majitu yanayochumia tumbo; sishangai kusikia wakikumbatia ufashishti hasa huu unaofanyika hapa nchini. Tumbo halijawahi kumuacha mtu salama.
 
Wewe ni mjinga sana una kwa mamlaka ya nani hata uwazuie watu kujadili mustakabali wa maisha yao ikiwa hata mungu wako jiwe hana mamlaka hayo zaidi yakutumia bunduki acheni huu upuuzi mnaumiza hii nchi
 
Labda zamani lkn siku hizi wanapiga gem na wanamiliki familia tu japo kwa kificho
 
Wewe ni mjinga sana una kwa mamlaka ya nani hata uwazuie watu kujadili mustakabali wa maisha yao ikiwa hata mungu wako jiwe hana mamlaka hayo zaidi yakutumia bunduki acheni huu upuuzi mnaumiza hii nchi
Hutaki acha!
 
Wewe ni mjinga issue sio kuzungumza issue unazungumza nini kuhusu watu
Acha kuaminisha watu uongo. Yule Shoo wa KKKT yeye anayeongelea siasa na kuandika waraka mbona hamzunguzii.

Safari hii mtapata tabu sana. Hakuna kumbelezena ni mwendo wa kwenda mbele
 
Kwanini hawaulizi Malasusa anavyopuuzwa baada yakujificha kwenye kwapa la bashite
Hata huyo Dr. shoo akiacha kusimamia upande wa haki akisimama na shetani tutampa ukweli wake kama tunavyowapa hawa wahuni wa Roma.
 
mmezoea KKKT na vijikanisa vingine vinavyo sifu kila utumbo wa chadema?
Kanisa katoliki limejaa majitu yanayochumia tumbo; sishangai kusikia wakikumbatia ufashishti hasa huu unaofanyika hapa nchini. Tumbo halijawahi kumuacha mtu salama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…