Askofu Nyaisonga avishangaa Vyama vya Upinzani kususia uchaguzi. Ahimiza waumini kujitokeza kupiga kura na kuchagua viongozi

Maaskofu na Mashekhe walikosea pale waliposhindwa kutia neo kwenye mkanganyiko wa awali katika uandikishaji, uchukuaji na urudishaji fomu. Hapa kulikuwa na sintofahamu mpaka na serikali ikakiri hizo kasoro lakini hawa jamaa hawakuongea chochote.
Ilikuwa ni busara kama wangeliendelea kukaa kimya maana ingelinda heshima yao au kama wangeongea basi wasimamie uhalisia na sio kuchagua upande!
 
Dah! Uandishi wa hovyo kabisa huu mkuu. Maneno "uwa", "uyu" maana yake ni nini?
 
Labda mkatoliki uchwara! Hamia KKKT. Inaonekana nyinyi kazi yenu kuwahonga Maaskofu wenu uchwara kama yule wa Karagwe na Tanga! Mtanyooka tu awamu hii. Mafisadi na Mawakala wetu lazima mnyooshwe awamu hii
Kauli gani hii ya kiwumer kiasi hiki? Kama huna hoja si ukae kimya??
 
Huyo askofu atakuwa mgonjwa wa akili huyo sio bure.
 
Huyo askofu atakuwa mgonjwa wa akili huyo sio bure.
 
Ulichoeleza nibsahihi kabisa ndio maana katibu wa tec fr Dr Raymond saba walimtoa
 
.Vyama vya upinzani vimejitoa, imebaki ccm peke yake na kwa mujibu wa sheria kama mtu hana mpinzani basi automatically huyo ndiye mshindi. HAKUNA KURA ZA NDIYO NA HAPANA. Askofu usiturudishe nyuma
 

Kuwahimiza watu kushiriki uchaguzi huu ni kuunga mkono utumwa. Huyu ni askofu mawenge...

Unakuwa umeminya haki ya raia tunayoiita the right to deliberative justification of policies.

Na utumwa ni uovu dhidi ya utu. Askofu ametenda dhambi kubwa sana huku akiwa anaongozwa na fungu la 536 la sheria za kanisa katoliki (1983).

Ni
 
Wanakaa wapi sasa Meza moja na serikali wakati serikali haina mpango huo
Nalog off
 

Hayati samwel sitta anakumbukwa kwa mengi.

Moja ni tukio la kusoma risala ya wanafunzi waasi ktk ikulu ya mchonga.

Sehemu ya risala hiyo ilisema

"Mhe Rais, kwa mamlaka uliyo nayo unaweza kulazimisha miili yetu kwenda JKT lakini roho zetu zitabaki uraiani..."

Maneno haya yana maana kubwa ktk sakata la uchaguzi huu wa 2019...
 
Uchaguzi wa 2018 ndio upi huo manka?!
 
Acha kuaminisha watu uongo. Yule Shoo wa KKKT yeye anayeongelea siasa na kuandika waraka mbona hamzunguzii.

Safari hii mtapata tabu sana. Hakuna kumbelezena ni mwendo wa kwenda mbele
Hakuna haja ya kulalamikia waraka unaoendana na tunu za ukweli, usawa, uwajibikaji na uhuru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…