Askofu Nyaisonga avishangaa Vyama vya Upinzani kususia uchaguzi. Ahimiza waumini kujitokeza kupiga kura na kuchagua viongozi

Askofu Nyaisonga avishangaa Vyama vya Upinzani kususia uchaguzi. Ahimiza waumini kujitokeza kupiga kura na kuchagua viongozi

Maaskofu na Mashekhe walikosea pale waliposhindwa kutia neo kwenye mkanganyiko wa awali katika uandikishaji, uchukuaji na urudishaji fomu. Hapa kulikuwa na sintofahamu mpaka na serikali ikakiri hizo kasoro lakini hawa jamaa hawakuongea chochote.
Ilikuwa ni busara kama wangeliendelea kukaa kimya maana ingelinda heshima yao au kama wangeongea basi wasimamie uhalisia na sio kuchagua upande!
 
"Madicteta Bwana!!! ujipenyeza kila sehemu.

Miskitini, Makanisani, Jeshini na idara zote za kiserikali na kijamii na vyombo vya habari

Ila uwa sio popular kwa wananchi na dawa ya madicteta uwa ni maandamano yasiyo na kikomo." Mimi ni mkatoliki pure but toka aingie Magufuli madarakani kanisa linafanya mambo mengi ya aibu na ya kipumbavu niwaambie tu viongozi misimamo yao sio misimamo ya sisi wananchi wakatoliki tunataka haki itendeke uyu itakuwa kahongwa sio bure.
Dah! Uandishi wa hovyo kabisa huu mkuu. Maneno "uwa", "uyu" maana yake ni nini?
 
Labda mkatoliki uchwara! Hamia KKKT. Inaonekana nyinyi kazi yenu kuwahonga Maaskofu wenu uchwara kama yule wa Karagwe na Tanga! Mtanyooka tu awamu hii. Mafisadi na Mawakala wetu lazima mnyooshwe awamu hii
Kauli gani hii ya kiwumer kiasi hiki? Kama huna hoja si ukae kimya??
 
Huyo askofu kweli ana akili timamu??

Hivi chama chako kinaenguliwa wagombea wako zaidi ya asilimia 95 na wapinzani wako CCM wagombea wake wote asilimia 100 wanaonekana kuwa ndiyo waliojaza sahihi hizo fomu!

Hivi huyo askofu anakuwa na ujasiri kweli wa kuvilaumu vyama vya upinzani kwa kususia huo UCHAFUZI??

Hakika katika awamu hii ya utawala, hata hao wanaojiita watumishi wa Mungu wamewekwa mfukoni!
Huyo askofu atakuwa mgonjwa wa akili huyo sio bure.
 
Huyo askofu kweli ana akili timamu??

Hivi chama chako kinaenguliwa wagombea wako zaidi ya asilimia 95 na wapinzani wako CCM wagombea wake wote asilimia 100 wanaonekana kuwa ndiyo waliojaza sahihi hizo fomu!

Hivi huyo askofu anakuwa na ujasiri kweli wa kuvilaumu vyama vya upinzani kwa kususia huo UCHAFUZI??

Hakika katika awamu hii ya utawala, hata hao wanaojiita watumishi wa Mungu wamewekwa mfukoni!
Huyo askofu atakuwa mgonjwa wa akili huyo sio bure.
 
Niliwahi kueleza hapa jukwaani taarifa kutoka kwa Askofu mmoja kutoka inner circle ya Kanisa Katoliki. Mimi pia ni mkatoliki halisi wa imani aliyewahi kuhudumu ndani ya kanisa.

Askofu yile alieleza kuwa Kanisa Katoliki, baada ya waraka wa kwaresma, ulioeleza mapungufu mengi ya watawala wa awamu hii, uhusiano wake na mtawala mkuu ulififia sana kufikia hatua ya kujenga uadui. Inner circle ya Kanisa waliazimia kuurudisha uhusiano huo uliokuwa umezoeleka.

Hatua ya kwanza ilikuwa kumpata Rais wa TEC ambaye ana mahusiano binafsi ya karibu na mtawala, na huyo hakuwa mwingine bali huyu Rais wa TEC wa sasa. Hilo lilifanikiwa.

Na ninarudia tena, chini ya uongozi wa sasa wa TEC, msitegemee kauli yoyote ile kutoka TEC itakayokuwa kinyume na matakwa ya watawala. Kanisa, kama lilivyo bunge na mahakama, wamejumuishwa. Mark my words.

Mimi niliyasikia haya wakati wa kipindi cha kumpata Rais mpya wa TEC. Jambo la kujiuliza, hivi hizi dini zetu zipo kwaajili ya imani au maslahi fulani? Ni dini au watu fulani ndio wanaozifanya dini kuwa syndicate ya matakwa binafsi ya watu fulani?
Ulichoeleza nibsahihi kabisa ndio maana katibu wa tec fr Dr Raymond saba walimtoa
 
.Vyama vya upinzani vimejitoa, imebaki ccm peke yake na kwa mujibu wa sheria kama mtu hana mpinzani basi automatically huyo ndiye mshindi. HAKUNA KURA ZA NDIYO NA HAPANA. Askofu usiturudishe nyuma
 
Akiwa katika Jimbo Katoliki la Shinyanga kuhudhuria Misa ya Jubilei ya kutimiza miaka 25 ya Upadre wa Padre Sangu Rais wa Baraza la Maaskofu (TEC) amewataka wakatoliki kuwapuuza baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa wanaohubiri mgomo wa kugomea zoezi la uchaguzi wa viongozi ngazi ya serikali za mitaa utarajiwao kufanyika hivi karibuni.

Rais huyo wa TEC amekemea tabia ya Wanasiasa wasio na nia njema kwa taifa kwa kuhubiri uovu wa kugomea chaguzi zinazoandaliwa na serikali.

My take: Haya sasa wenye yao dunia wamenena!

Kuwahimiza watu kushiriki uchaguzi huu ni kuunga mkono utumwa. Huyu ni askofu mawenge...

Unakuwa umeminya haki ya raia tunayoiita the right to deliberative justification of policies.

Na utumwa ni uovu dhidi ya utu. Askofu ametenda dhambi kubwa sana huku akiwa anaongozwa na fungu la 536 la sheria za kanisa katoliki (1983).

Ni
Hakuna mwanadamu mwenye akili timamu asiyetaka amani. Watu huingia kwenye mapigano wanapoona hawana amani mioyoni mwao na njia zilizo rahisi zote zimefungwa.

Kanisa kama taasisi ambayo waumini huamini ni taasisi ya Mungu, wanatarajia siku zote kunena yaliyo ya haki na kweli. Huyo Askofu ni kipofu na kiziwi kiasi gani asione au kusikia juu ya wagombea zaidi ya 90% kutoka upande mmoja kuenguliwa kwa hila?
 
Wanakaa wapi sasa Meza moja na serikali wakati serikali haina mpango huo
Nalog off
 
Binafsi nachukulia kwamba mjadala wa uhalali wa uchaguzi wa serikali za mitaa umefungwa rasmi kufuatia tamko la Baba Askofu Nyaisonga wa Kanisa kubwa kabisa nchini.

Awali wakati wa Baraza la Maulidi viongozi wa Bakwata wakiongozwa na Mufti Abubakar waliwataka Waislamu wote nchini kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa bila ya kuwa na visingizio vyovyote.

Naye Baba Askofu Nyaisonga ametoa wito kama huo wa kuwataka Wakristo wote na wale wenye mapenzi mema kushiriki uchaguzi huo kwa 100%.

Mjadala umefungwa, shime Watanzania tujitokeze kwa wingi 24/11/2019 kuchagua viongozi wetu wa serikali za mitaa.

Amen!

Maendeleo hayana vyama!

Hayati samwel sitta anakumbukwa kwa mengi.

Moja ni tukio la kusoma risala ya wanafunzi waasi ktk ikulu ya mchonga.

Sehemu ya risala hiyo ilisema

"Mhe Rais, kwa mamlaka uliyo nayo unaweza kulazimisha miili yetu kwenda JKT lakini roho zetu zitabaki uraiani..."

Maneno haya yana maana kubwa ktk sakata la uchaguzi huu wa 2019...
 
Hayati samwel sitta anakumbukwa kwa mengi.

Moja ni tukio la kusoma risala ya wanafunzi waasi ktk ikulu ya mchonga.

Sehemu ya risala hiyo ilisema

"Mhe Rais, kwa mamlaka uliyo nayo unaweza kulazimisha miili yetu kwenda JKT lakini roho zetu zitabaki uraiani..."

Maneno haya yana maana kubwa ktk sakata la uchaguzi huu wa 2018...
Uchaguzi wa 2018 ndio upi huo manka?!
 
Acha kuaminisha watu uongo. Yule Shoo wa KKKT yeye anayeongelea siasa na kuandika waraka mbona hamzunguzii.

Safari hii mtapata tabu sana. Hakuna kumbelezena ni mwendo wa kwenda mbele
Hakuna haja ya kulalamikia waraka unaoendana na tunu za ukweli, usawa, uwajibikaji na uhuru.
 
Back
Top Bottom