Mpenda Usalama
Member
- Nov 5, 2019
- 57
- 13
Dawa yao ni kuwagomea sadaka ndiyo watapata akili!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama wanasiasa wenyewe ni wa aina yako ya kutukana kila mtu basi tuna safari ndefu sana.Wee jamaa ni mpuuzi sana yaani wapinzani wafanye ujinga kama mnaofanya wakununua watu kisha mnasema wanaunga juhudi zenu anyway Africa haina dalili yakuishiwa wajinga
Unaushaid kwel wa kuthibisha Kuwa wapinzan hawataki kusikiliza Mawazo tofaut na udikteta wao Uko wap...!!? Eb Sema kat ya wapinzan na utawala nan hataki kusikiliza hoja za mwenzake...!!? Na kwann wasiskilizwe yanayowezkana kutatuliwa yatatuliwe kwa mjib wa sheria na katiba...!!!? MfanoKama wanasiasa wenyewe ni wa aina yako ya kutukana kila mtu basi tuna safari ndefu sana.
Wenye hekima,busara ,akili na maarifa watajitenga na wanasiasa na upinzani wa aina hii.
Upinzani wa matusi ndio unaopigwa vita na akina Pengo.
Ni wapi niliposema kuwa wapinzani wanunue watu?
Bado Tanzania haihawa na chama mbadala chenye watu wenye uwezo wa kushika Dola kama watu wenyewe ni wanaojibu hoja kwa matusi. Wakishika Dola watajibu kwa marungu na risasi. Tunalaumu udikteta lakini wapinzani ni madikteta kuliko mana hawapendi kusikia mawazo tofuti.
Juzi nilimsikia mbunge mmoja wa Upinzani akishauri Bungeni kuwa Serikali inunue ndege ya mizigo.Unaushaid kwel wa kuthibisha Kuwa wapinzan hawataki kusikiliza Mawazo tofaut na udikteta wao Uko wap...!!? Eb Sema kat ya wapinzan na utawala nan hataki kusikiliza hoja za mwenzake...!!? Na kwann wasiskilizwe yanayowezkana kutatuliwa yatatuliwe kwa mjib wa sheria na katiba...!!!? Mfano
1) Wanahoji kuhusu mauaji ya kinyemela yanayoendelea japo wawe wanayatolea msistizo Ktk ufatiliaj... (Mfalme) kimya hasem lolote unadhan tutamuelewaj (dikteta asiye skia upande mwngne)
2) uchaguz Uko waz umechakachuliwa wako tu wanatoa porojo bila ya kufata taratb na sheria kusikiliza malalamiko ya wenzao... Japo kupunguza vinavyowezkana na waliofanya Hvyo iko dhahili Ila utawala Uko kimy nn hii (udikteta)
3) udikteta au unauelewaje wew?
4)wapinzan skuwa hawaung hoja za maendeleo lakin wanachokipinga ni kitumia mgongo na maneno ya maendeleo kwa wanyonge hku watu wenyew Ugum wa life unaendelea...!!! ( maendeleo Nkwa watu na sio vitu) na mtu akiulza hapew maelezo yenye fact na kueleweka,, ukihoj zaid umemkashifu Mkuu?? (udikteta)
Sasa na Dini ndio hvo hata Yale yanayoonekana kwel wanataka kugeuza Kuwa uongo na hawakosoi penye kosa hypoc...
Ila ni haki kwa mwenyekiti wa chama twawala kuwatukana watu wengine hadharani!? Basi irachukua miaka 200 kupata maendeleo kwa kuwa na chama chenye viongozi wanaotukana wananchi wao hadharani.Kama wanasiasa wenyewe ni wa aina yako ya kutukana kila mtu basi tuna safari ndefu sana.
Wenye hekima,busara ,akili na maarifa watajitenga na wanasiasa na upinzani wa aina hii.
Upinzani wa matusi ndio unaopigwa vita na akina Pengo.
Ni wapi niliposema kuwa wapinzani wanunue watu?
Bado Tanzania haihawa na chama mbadala chenye watu wenye uwezo wa kushika Dola kama watu wenyewe ni wanaojibu hoja kwa matusi. Wakishika Dola watajibu kwa marungu na risasi. Tunalaumu udikteta lakini wapinzani ni madikteta kuliko mana hawapendi kusikia mawazo tofuti.
Kususia jambo lolote, sio kuwa hilo jambo hulitaki. Ni kwamba unalitaka lakini ni kwa namna iliyo bora au yenye haki. Upande unao susiwa ukitafakari na kujitathmini unaweza kurekebisha au kujirekebidha.Nijuavyo mimi:
• Kanisa Katoliki huwa halifanyi mambo ili kumfurahisha mtu au kikundi cha watu.
• Kanisa Katoliki huwa halifanyi mambo kwa kufuata mkumbo wa watu.
• Kanisa Katoliki halifungamani na chama chochote cha siasa.
• Kanisa Katoliki halifanyi mambo ili kuongezea tatizo zaidi, bali huangalia namna nzuri ya kuleta umoja na mshikamano.
• Kanisa Katoliki halijawahi kuwa la kidemokrasia hata siku moja. Sikumbuki kama nilishalishuhudia au hata kusoma sehemu juu ya hili.
• Kanisa Katoliki hufanya mambo yake likizingatia misingi ya Ukristu likiamini hakuna mwanadamu mkamilifu.
Ninajaribu kujiuliza:
• Kuna sababu gani ya msingi ya kulifanya Kanisa Katoliki liunge mkono ususiaji wa uchaguzi?
• Sisi Watanzania, tukisusia uchaguzi, then what will be our next plan? What will we benefit from doing so? Will that change anything?
• Je, kususia uchaguzi ndio suluhusho pekee lililopo? Ndio CCM wata-retreat? Ndio kusema kuwa wataacha uonevu?
• Je, tukisusia uchaguzi, tutaleta umoja na mshikamano kama taifa, au ndio tutazidi kugawanyika?
Ninafikiri tunapaswa kutafuta suluhisho jingine. Hatuwezi kususia tu bila kuwa na reasonable plan nyingine.
Kanisa Katoliki lipo sahihi, kwa mtazamo wangu.
Wale wana Kiburi cha majeshi yaliyowazunguka na mahela ya Hazina na kila kitu kiko chini yao.Ila ni haki kwa mwenyekiti wa chama twawala kuwatukana watu wengine hadharani!? Basi irachukua miaka 200 kupata maendeleo kwa kuwa na chama chenye viongozi wanaotukana wananchi wao hadharani.
Ila uchaguzi huu utapiga kura bila tume huru?Huku nikutudhalilisha wakatoliki
Yaani nasikia aibu sana mimi kuitwa mkatoliki
Hawa viongozi hovyo sana.
Badala ya kukemea maovu, wanakumbatia waovu
Wakapige wao mapadre mimi nafamilia yangu marufuku