Hao wazungu ukristo wao ni dunia yao kwenda vyema . Kwao ukristo ni utamaduni usio kuwa na fungamano na mambo yao.
Walilitenga kanisa zamani wakaja na usekula.walijua kanisa litawarejesha nyuma.
Nilikua UK wakati ule kombe la dunia likifanyika Japan/Korea makanisa yakabadilisha time table ya misa zao .kuuliza kwanini jibu maslahi ya nchi yao yapo juu ya imani za dini na hayo ni majibu ya mapadre wao.
Hivyo wao hawajali nani wanampa scholarship wanachojali uwezo wako na vp utasaidia nchi yako sio kanisa lako.
Pia elewa hizo catholics za huko kwa wazungu ni kweli ni shule nzuri sana tena sanaaa lakini hawana upumbavu wa kuweka chooni majibu ili kupata sifa hewa
Hivyo haina haja ya kutoa povu na kutukana jibu hoja kwa kituo.
FaizaFoxy Mahmoud kahtan