Askofu Pengo akunwa na Ufaulu shule za kanisa

askofu anafurahia mafisadi
wa baadae maana waislam wote wamefeli na serikali haiajiri mtu aliyefeli
ndo maana mnaona sekta zote wamejaa wao na ufisadi unavyolitafuna
taifa

Adam Malima
Nazir Karamagi
Juma Kapuya
Rajabu Maranda
............
ongeza na wengine,hao ni product za kanisa?
 
Fool kabisa...

Dunia nzima Catholic schools are best schools..

Nakuona mpumb.avu kabisa..Wajisifia eti Cambrige na blah blah blah....Ukasahau hizo unazozishabikia ni mitaala ya Kanisa Uingereza na Ulaya yote...

Kanisa la Tanzania linakuumza mkaamua kuhamia Kanisa la Ulaya na Uingereza ehhh...Na badooo.....

Ningekuona wa maana kama ungejivunia hao wanafunzi wa kiislamu wanapata Schilarship za Iran, Iraq, Afgjanstan, Saudia na nchi za Kiarabu..

Ila kwa kuwa akili yako ina matope sana ukasahau kuwa bado unashabikia Mfumo Kristo unaotawala dunia....Nani mjinga hapa!!!!

Unalalamika lakini bado unaupenda Mfumo Kristo.....

Fool

mjinga ni mjinga tu hawezi kamwe kuwa na akili, na hajui kwamba Canada ni taifa la mfumo kristo na wanasapoti Israel vilivyo kuwafundisha adabu magaidi wa Hamas.
 
Ukitaka kubaini wanaume wenye jinsia tofauti na ya kwao wakiongozwa na mtoa mada, soma tuu huu uzi kwa makini....
 
Achana na story za kwenye mihadhara ndugu yangu acha ukweli ujjisimamie ingekuwa kweli NECTA wanawafelisha watoto wa kiislam Tanzania wasingekuwapo wasomi wa kiislam lakin mbona kuna waislam tumesoma nao secondary za serikali na vyuo wako vizuri na kwa sasa wana position nzuri serikalini hao NECTA haikuwaona?
Shule ya Almuntazir waliamua hivyo kutokana na mfumo mbovu wa elimu yetu na si wanafunzi kufelishwa usiwe muongo kama hujafunga.
BInafsi mdogo wangu mkristo alisomea hiyo shule O level alifaulu vizuri kwa sasa yupo chuo.
Hayo madai yako wakiyasikia hata wao watakushangaa

Nadhani umejijibu mwenyewe..
 
Fool kabisa...

Dunia nzima Catholic schools are best schools..

Nakuona mpumb.avu kabisa..Wajisifia eti Cambrige na blah blah blah....Ukasahau hizo unazozishabikia ni mitaala ya Kanisa Uingereza na Ulaya yote...

Kanisa la Tanzania linakuumza mkaamua kuhamia Kanisa la Ulaya na Uingereza ehhh...Na badooo.....

Ningekuona wa maana kama ungejivunia hao wanafunzi wa kiislamu wanapata Schilarship za Iran, Iraq, Afgjanstan, Saudia na nchi za Kiarabu..

Ila kwa kuwa akili yako ina matope sana ukasahau kuwa bado unashabikia Mfumo Kristo unaotawala dunia....Nani mjinga hapa!!!!

Unalalamika lakini bado unaupenda Mfumo Kristo.....

Fool

sina haja ya kubishana , hujaelewa ninachongea kwa sababu nadhani ni mmoja ya hao First Division...

nakusaidia ..kuelewa yaani wanafunzi wa kiislam wanaosoma school nje ya system ya NECTA huwa wanafanya vizuri sana tena..kwanini?
 
mjinga ni mjinga tu hawezi kamwe kuwa na akili, na hajui kwamba Canada ni taifa la mfumo kristo na wanasapoti Israel vilivyo kuwafundisha adabu magaidi wa Hamas.

Hao wazungu ukristo wao ni dunia yao kwenda vyema . Kwao ukristo ni utamaduni usio kuwa na fungamano na mambo yao.
Walilitenga kanisa zamani wakaja na usekula.walijua kanisa litawarejesha nyuma.
Nilikua UK wakati ule kombe la dunia likifanyika Japan/Korea makanisa yakabadilisha time table ya misa zao .kuuliza kwanini jibu maslahi ya nchi yao yapo juu ya imani za dini na hayo ni majibu ya mapadre wao.
Hivyo wao hawajali nani wanampa scholarship wanachojali uwezo wako na vp utasaidia nchi yako sio kanisa lako.
Pia elewa hizo catholics za huko kwa wazungu ni kweli ni shule nzuri sana tena sanaaa lakini hawana upumbavu wa kuweka chooni majibu ili kupata sifa hewa
Hivyo haina haja ya kutoa povu
 
Hivyo haina haja ya kutoa povu na kutukana jibu hoja kwa kituo. FaizaFoxy Mahmoud kahtan
 
Last edited by a moderator:
Na hao unawaona status zao za kazi zao walivo?
 
Back
Top Bottom