Askofu pengo kemea na serikali

Kubwa zima unashangilia wizi wa rasilimali za wananchi masikini,kwa hiyo nawewe ni mmoja wao,epa,richmond,escrow,meremeta,kagoda,gesi mtwara,kutorosha twiga hai,madawa ya kulevya,biashara haramu ya pembe za ndovu
 
name: Sidanganyiki

post count 378
 
Povu linakutoka kisa kukosea jina kidogo lkn bado akili yako imeganda pale lumumbA
 
Povu linakutoka kisa kukosea jina kidogo lkn bado akili yako imeganda pale lumumbA

Nimeona unawayawaya na kutoa maneno yasiyo na hekima. Kukosea ni kukosea tu hakuna kukosea kidogo. Tatizo lako ni kukurupuka na kuzungumza mambo yasiyo ya msingi. Lumumba itakuwasha nini? Kawatembee ili ufurahi zaidi.
 
Kwa usafi nilionao nikienda lumumba kwa wajinga na wachafu kama ww hawawezi kunikubali so kama buku saba zenu muendeleze ujinga ujinga wa mwisho maana ukombozi unakuja hata kwa vilaza kama ww
 
Wewe umechoka nenda kapumzike na inaonekana unaota ndoto za mchana. Pengo anapaswa kukemea dhambi na mapepo kama ana uwezo huo si kukemea serikali. Kwani yeye si serikali! Acha hizo ndugu yangu. Subiri wakati ukifika ipigie kura ya ndiyo Katiba Inayopendekezwa. Kwanza umeshajiandikisha wewe mtu? Kama bado nenda kwenu Tunduru ukajiandikishe kwenye daftari la kudumu la wapiga kura.
 
Kubwa zima unashangilia wizi wa rasilimali za wananchi masikini,kwa hiyo nawewe ni mmoja wao,epa,richmond,escrow,meremeta,kagoda,gesi mtwara,kutorosha twiga hai,madawa ya kulevya,biashara haramu ya pembe za ndovu

Nmkuambia sina muda wa kupoteza mwaka huu tunawazika rasmi.RIP UKAWA 2015
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…