The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Ila mapadre wake wako tayari kukopa na kwenda kucheza kamari wakiliwa hela wanajiteka na kutoa taarifa za uongo ili kukimbia madeni kama Padre kibikiAskofu amalizie pia kwa kusema "Kanisa halipo tayari kugeuka kuwa tawi la serikali na ccm kama ilivyo kwa Bakwata. Daima litaendelea kusimama kwenye haki na usawa katika jamii".
usiwe mchochezi mjuba, hapa unachochea vuruguFanyeni hata tarehe 29/10 ila msilete fujo maana virungu vitawahusu hatutavumilia kuona vurugu zozote nimechonga rungu kuwasaidia polisi siku hiyo
Wao ndo wameanzisha inabidi wafunzwe adabuusiwe mchochezi mjuba, hapa unachochea vurugu
Vipi, imekuuma sana? Kuna ushauri mzuri nataka kukupatia.Ila mapadre wake wako tayari kukopa na kwenda kucheza kamari wakiliwa hela wanajiteka na kutoa taarifa za uongo ili kukimbia madeni kama Padre kibiki
The crusaders, Constantinople to the ottomans!!! Modern Palestine and Israel.Ila mapadre wake wako tayari kukopa na kwenda kucheza kamari wakiliwa hela wanajiteka na kutoa taarifa za uongo ili kukimbia madeni kama Padre kibiki
Ushauri mpe padre kibiki aache kubet na kujiteka ili akwepe madeniVipi, imekuuma sana? Kuna ushauri mzuri nataka kukupatia.
AISEEE!Askofu amalizie pia kwa kusema "Kanisa halipo tayari kugeuka kuwa tawi la serikali na ccm kama ilivyo kwa Bakwata. Daima litaendelea kusimama kwenye haki na usawa katika jamii".
Wewe unawashwa sana na mambo haya; kulikoni!Fanyeni hata tarehe 29/10 ila msilete fujo maana virungu vitawahusu hatutavumilia kuona vurugu zozote nimechonga rungu kuwasaidia polisi siku hiyo
Kwa umri wako miaka 60+ wewe umeishi kwa amani sahivi umeona uko mwishoni mwishoni unataka utuletee machafuko ili ufe na wengi hilo halitawezekanaWewe unawashwa sana na mambo haya; kulikoni!
Unazo hisa katika uovu wa Samia kwa waTanzania; au ni mfugo tu anaoutunza sawa na nguruwe na kukunenepesha kwa masalia ya chakula?
Hawezi kusema hayo maneno.Askofu amalizie pia kwa kusema "Kanisa halipo tayari kugeuka kuwa tawi la serikali na ccm kama ilivyo kwa Bakwata. Daima litaendelea kusimama kwenye haki na usawa katika jamii".