GE2025 Askofu Ruwa'ichi: Kanisa katoliki halilumbani wala kushindana na serikali

GE2025 Askofu Ruwa'ichi: Kanisa katoliki halilumbani wala kushindana na serikali

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwa umri wako miaka 60+ wewe umeishi kwa amani sahivi umeona uko mwishoni mwishoni unataka utuletee machafuko ili ufe na wengi hilo halitawezekana
Wewe sasa ndiye umejipa mamlaka ya kuwagawia watu umri na kujuwa wataishi hadi lini?

Hata kama ningekuwa na miaka 100, nisinge vumilia mtu wa hovyo kama Samia Suluhu Hassan alinajisi taifa nililoishi. Ni wajibu wangu nikiwa hai, bila kujali umri kulitetea taifa hili dhidi ya watu waovu kabisa kama mlivyo nyinyi.
Hivi unajuwa Samia ana umri gani?
Kwa nini usimshauri kwa umri wake huo asitende maovu anayo yafanya sasa.
 
..Kanisa lisimame upande wa HAKI.

..Serikali ya Ccm haitendi haki.

..Kanisa lisilolumbana na serikali isiyotenda haki ni la HOVYO.
Kwa hyo sifa kuu ya kanisa zuri ni lile linalolumbana na serikali?
Duuu..mlitaka kuwalisha maneno RC?
MMEUMBUKA!
 
Back
Top Bottom