Wewe sasa ndiye umejipa mamlaka ya kuwagawia watu umri na kujuwa wataishi hadi lini?
Hata kama ningekuwa na miaka 100, nisinge vumilia mtu wa hovyo kama Samia Suluhu Hassan alinajisi taifa nililoishi. Ni wajibu wangu nikiwa hai, bila kujali umri kulitetea taifa hili dhidi ya watu waovu kabisa kama mlivyo nyinyi.
Hivi unajuwa Samia ana umri gani?
Kwa nini usimshauri kwa umri wake huo asitende maovu anayo yafanya sasa.