Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
We Vaa kijora hujakatazwa mremboYEYE MWENYEWE ANAVAA MAGAUNI NA WENZAKE KWANINI ANAWAKATAZA WAUMINI WAKE WASIVAE VIJORA?
Baba umsemehe huyu, hajui asemalo. Uzuri wakatoliki tumejawa na na roho mtakatifu aliyetushukia siku ya pentecoste, tunajizuia kuyasema mapungufu kadhaa ya dini zingine; na yapo mengi na yanafedhehesha.YEYE MWENYEWE ANAVAA MAGAUNI NA WENZAKE KWANINI ANAWAKATAZA WAUMINI WAKE WASIVAE VIJORA?
Wahuni wanataka kulishusha Kanisa hadi katika level yao ya ujinga.Akiongea katika Kituo cha Hija cha Pugu Jimbo Kuu la Dar es Salaam Baba Askofu Ruwaich amewasisitiza wakatoliki kubaki kuwa wakatoliki. Amesema tusiwe wakatoliki wa vijora na kuhongwa.
Awali alitangulia kuhutubia Askofu Pambo na kuwataka wakatoli kuwaombea viongozi wao kwa sababu muovu yupo kazini. Amesema wasikubali kufanywa kituko wala kinyago. Adhimisho la Misa Takatifu Jubilei 2025 linaendelea hapa.
wale wanayovaa mashehe nin vijoraYEYE MWENYEWE ANAVAA MAGAUNI NA WENZAKE KWANINI ANAWAKATAZA WAUMINI WAKE WASIVAE VIJORA?
Baba umsemehe huyu, hajui asemalo. Uzuri wakatoliki tumejawa na na roho mtakatifu aliyetushukia siku ya pentecoste, tunajizuia kuyasema mapungufu kadhaa ya dini zingine; na yapo mengi na yanafedhehesha.
wale wanayovaa mashehe nin vijora
Wahuni wanataka kulishusha Kanisa hadi katika level yao ya ujinga.
๐๐๐ฎ๐ป๐ฑ๐ถ๐ธ๐ฎ ๐ธ๐๐ฎ ๐ต๐ฒ๐ฟ๐๐ณ๐ถ ๐ธ๐๐ฏ๐๐ฎ ๐ป๐ถ ๐ฑ๐ฎ๐น๐ถ๐น๐ถ ๐๐ฎ ๐ธ๐๐ณ๐ผ๐ธ๐ฎ, ๐ท๐ฎ๐๐ฏ๐ฎ, ๐๐ฝ๐๐ป๐ด๐๐ณ๐ ๐๐ฎ ๐ฎ๐ธ๐ถ๐น๐ถ ๐ป๐ฎ ๐บ๐๐ผ๐ป๐ด๐ผ ๐๐ฎ ๐บ๐ฎ๐๐ฎ๐๐ผ ๐๐น๐ถ๐ผ๐ฝ๐ถ๐๐ถ๐น๐ถ๐๐ฎYEYE MWENYEWE ANAVAA MAGAUNI NA WENZAKE KWANINI ANAWAKATAZA WAUMINI WAKE WASIVAE VIJORA?
Kanisa likikemea uasherati linakuwa limeshiriki uzinzi?Kanisa limejishusha lenyewe kwa kuacha kufanya kazi yake na kukimbilia harakati za siasa na kuhamasisha vurugu nchini
Yuda anaendelea kumpiga spana Chawa GENTAMYCINEAkiongea katika Kituo cha Hija cha Pugu Jimbo Kuu la Dar es Salaam Baba Askofu Ruwaich amewasisitiza wakatoliki kubaki kuwa wakatoliki. Amesema tusiwe wakatoliki wa vijora na kuhongwa.
Hapana linakua halijafanya uzinziKanisa likikemea uasherati linakuwa limeshiriki uzinzi?
Dalili ya [kupagawa] akili zinakua zinayeyuka km barafu๐๐๐ฎ๐ป๐ฑ๐ถ๐ธ๐ฎ ๐ธ๐๐ฎ ๐ต๐ฒ๐ฟ๐๐ณ๐ถ ๐ธ๐๐ฏ๐๐ฎ ๐ป๐ถ ๐ฑ๐ฎ๐น๐ถ๐น๐ถ ๐๐ฎ ๐ธ๐๐ณ๐ผ๐ธ๐ฎ, ๐ท๐ฎ๐๐ฏ๐ฎ, ๐๐ฝ๐๐ป๐ด๐๐ณ๐ ๐๐ฎ ๐ฎ๐ธ๐ถ๐น๐ถ ๐ป๐ฎ ๐บ๐๐ผ๐ป๐ด๐ผ ๐๐ฎ ๐บ๐ฎ๐๐ฎ๐๐ผ ๐๐น๐ถ๐ผ๐ฝ๐ถ๐๐ถ๐น๐ถ๐๐ฎ
Kanisa likikemea uasherati linakuwa limeshiriki uzinzi?
Kanisa likikemea uasherati linakuwa limeshiriki uzinzi?
Exactly. Kanisa linapokemea Uongo na Mauaji ambayo yamekatazwa hata katika Biblia inakuwaje nje ya majukumu yake?Hapana linakua halijafanya uzinzi
NA KUBOLD MAANDISHI NI DALILI YA.WEHU NA KUTOJIAMINI KWA UNACHOKIANDIKA๐๐๐ฎ๐ป๐ฑ๐ถ๐ธ๐ฎ ๐ธ๐๐ฎ ๐ต๐ฒ๐ฟ๐๐ณ๐ถ ๐ธ๐๐ฏ๐๐ฎ ๐ป๐ถ ๐ฑ๐ฎ๐น๐ถ๐น๐ถ ๐๐ฎ ๐ธ๐๐ณ๐ผ๐ธ๐ฎ, ๐ท๐ฎ๐๐ฏ๐ฎ, ๐๐ฝ๐๐ป๐ด๐๐ณ๐ ๐๐ฎ ๐ฎ๐ธ๐ถ๐น๐ถ ๐ป๐ฎ ๐บ๐๐ผ๐ป๐ด๐ผ ๐๐ฎ ๐บ๐ฎ๐๐ฎ๐๐ผ ๐๐น๐ถ๐ผ๐ฝ๐ถ๐๐ถ๐น๐ถ๐๐ฎ
Hizo zinaitwa fitna!Viongozi wenyewe wa kanisa wamekuwa banned kuoa,bila shaka zinaa itakuwa alternative watawezaje kukemea.uzinzi na wao ndiyo ponea ponea yao...??
HAMTAFAKARI??