Askofu Ruwai'chi: Tusiwe Wakatoliki wa Vijora na kuhongwa

Serikali iliyojiweka madarakani kwa mtutu wa bunduki imeamua kupigana vita na Kanisa la katoliki ..Serikali inayopigana vita na dini ya kikristo na raia wanaokemea utekaji, mauaji, mauaji ya kimbari, ulawiti, ukatili,katiba mpya ya kumvua raisi madaraka makubwa, tume huru ya uchaguzi, HAKI..etc..
 
Wakatoliki wa Mwamba Mwamba
Hata pentecoste ile mwamba hatuiimbi kihuni vile
 
Askofu wa vijembe!! Anaharibu RC yetu!! Anataka kutuambia Wakatoliki hawavai vijora? Mbona wanawake wa Dar siku hizi ndio mavazi yao pendwa hasa wa uswahilini? Au kwa kuwa yeye anakaa huko mjini kati anawadharau wakatoliki wanaoishi uswahilini?
 
Kwa hiyo huko maikitini kuna RC? RC haiwezi haribiwa kwa kupinga mauaji
 
YEYE MWENYEWE ANAVAA MAGAUNI NA WENZAKE KWANINI ANAWAKATAZA WAUMINI WAKE WASIVAE VIJORA?
Anavaa gauni kwani amekuwa Muhammad aliyekuwa anavaa magauni ya Lishangazi lake Bi. Khadija? 😂😂😂

Muddy Mtume Shoga na Nabii pekee duniani asiyetoa unabii wowte ule. 😂😂
 
Askofu wa vijembe!! Anaharibu RC yetu!! Anataka kutuambia Wakatoliki hawavai vijora? Mbona wanawake wa Dar siku hizi ndio mavazi yao pendwa hasa wa uswahilini? Au kwa kuwa yeye anakaa huko mjini kati anawadharau wakatoliki wanaoishi uswahilini?
Unaunga mkono utekaji na ufiraji?
 
Hakuna mtu amesema hii Nchi ni ya watawala wachache, TEC wakati huu Wa mama naona wamekuwa front sana kucritize tofauti na wakati awapo mgalatia kwenye kiti Kikuu

Viongozi wa TEC Kwa nafasi zao Wana platform za Kuonana na Mkuu wa Nchi wakati wowote ila sasa wameona Publicity ni muhimu zaidi ya utulivu

Atleast basi wangekuwa wanaongea point kama Gwajima

Wao Nia ya ni uovu tu hawana lolote ndio mana tuna sema Wana serve interest zao ila hawatafanikiwa inawauma sana taifa likuwa na Utulivu

Mana Magufuli ameua wangapi mbona hatukuona Kelele kubwa ivi
 
Kanisa ni mtetezi wa wanyonge waliomyimwa haki
Dunia haina haki mkuu, utaipata kwa Mungu ukishakufa.

Marekani kavamia nchi nyingine kamchukua rais wa nchi kaenda kumfunga jela New York. Kavunja sheria za kimataifa.

Hakuna haki duniani.
 
Dunia haina haki mkuu, utaipata kwa Mungu ukishakufa.

Marekani kavamia nchi nyingine kamchukua rais wa nchi kaenda kumfunga jela New York. Kavunja sheria za kimataifa.

Hakuna haki duniani.
Je kwa vile hakuna haki duniani basi na kanisa liendeleee kusifia wezi na wauwaji wa watu wasion na hatia?
 
Je kwa vile hakuna haki duniani basi na kanisa liendeleee kusifia wezi na wauwaji wa watu wasion na hatia?
Suala sio kuwasifia bali kile kinachotendwa na watawala wa nchi ambao baadhi yao ni waumini wanaokwenda kutubu makanisani humo humo.

Unajua kwanini Father Kitima alipiga sana kelele bandari isichukuliwe na DP World?. maslahi ya wakubwa wanaosali kanisani yaliharibiwa kwa yale mabadiliko makubwa ya utendaji bandarini.
 
Hiyo ndio kazi ya kanisa tangu Yesu alivyo ondoka. Kukemea maovu. Wakiziba masikio Mungu atawapiga mapigo kama aliyopigwa Farao.
Kanisa sio kama Bakwata ambolo mara nyingi linatetea uovu.
 
Hiyo ndio kazi ya kanisa tangu Yesu alivyo ondoka. Kukemea maovu. Wakiziba masikio Mungu atawapiga mapigo kama aliyopigwa Farao.
Kanisa sio kama Bakwata ambolo mara nyingi linatetea uovu.
Mimi ni mkatoliki na leo asubuhi nilikuwa kanisani. Najua mema wanayoyafanya pia najua mabaya wanayoyafanya nyuma ya pazia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…