Askofu Rweyongeza: Hata kama kesho kutakuwa na mabomu kama ya tarehe 29, njoo Kanisani kusali

Wakatoliki hatuna, bunduki, hatuna, mizinga, hatuna mabomu ya machozi, silaha yetu pekee ni sala.
Gentleman,
mueleze muhashamu Baba Askofu kwamba namuheshimu sana na ninamsalimu katika Kristo,

hata hivyo ,
nyinyi waamini,
mkitoka huko kanisani na kuja kulipua vituo vya mafuta, kuchoma vituo vya polisi na makazi ya watu, kupiga wananchi waliokataa huo unafiki wenu, mtadhibitiwa vizuri sana na vyombo vya ulinzi na usalama, na kuzima kabisa mbinu zenu za kutekeleza uovu na ghasia mtakazokua mmefunzwa huko kwenye hiyo ibada ya kinafiki , okay?🐒
 
Waje Watuchukue Majumbani Na Kosta Za Kanisa,,Ili Tupunguze Kujieleza Kwa Wenye Mabomu Na Kiu Ya Kisusio Cha Damu Ya Mwanadamu....
###ZaKuambiwaChanganyaNaZako###
​
 
Gentleman,
mueleze muhashamu Baba Askofu kwamba namuheshimu sana na ninamsalimu katika Kristo,

hata hivyo ,
mkitoka kanisani na kuja kulipua vituo vya mafuta, kuchoma vituo vya polisi na makazi ya watu, kupiga wananchi waliokataa huo unafiki wenu, mtadhibitiwa vizuri sana na vyombo vya ulinzi na usalama, na kuzima kabisa mbinu zenu za kutekeleza uovu na ghasia mtakazokua mmefunzwa huko kwenye hiyo ibada ya kinafiki , okay?🐒
Askofu kaita watu kanisani.
 
Gentleman,
mueleze muhashamu Baba Askofu kwamba namuheshimu sana na ninamsalimu katika Kristo,

hata hivyo ,
nyinyi waamini,
mkitoka huko kanisani na kuja kulipua vituo vya mafuta, kuchoma vituo vya polisi na makazi ya watu, kupiga wananchi waliokataa huo unafiki wenu, mtadhibitiwa vizuri sana na vyombo vya ulinzi na usalama, na kuzima kabisa mbinu zenu za kutekeleza uovu na ghasia mtakazokua mmefunzwa huko kwenye hiyo ibada ya kinafiki , okay?🐒
Siku hizi umekuwa mtabiri wa nyota.
 
Wakatoliki hatuna, bunduki, hatuna, mizinga, hatuna mabomu ya machozi, silaha yetu pekee ni sala, hata kama mtakutana na mabomu kama ya tarehe 29/10 njooni kanisani tusali, kwa Mungu hakuna linaloshindikana.

View attachment 3700491
Huyu Padre Nani kamwambia kesho kutakuwa na mabomu? Kesho ni siku ya mtihani wa Taifa Kidato cha Nne. Au kwakuwa yeye hana familia na hana mtoto hajui hilo?
 
Gentleman,
mueleze muhashamu Baba Askofu kwamba namuheshimu sana na ninamsalimu katika Kristo,

hata hivyo ,
nyinyi waamini,
mkitoka huko kanisani na kuja kulipua vituo vya mafuta, kuchoma vituo vya polisi na makazi ya watu, kupiga wananchi waliokataa huo unafiki wenu, mtadhibitiwa vizuri sana na vyombo vya ulinzi na usalama, na kuzima kabisa mbinu zenu za kutekeleza uovu na ghasia mtakazokua mmefunzwa huko kwenye hiyo ibada ya kinafiki , okay?🐒
Wewe mbona unafika mbali sana
 
Askofu kaita watu kanisani.
Zingatia maelezo gentleman,
ni kwa faida yako.

huna haja ya kushupaza shingo na kung'ang'ana na ghasia ili hatimae kupelekea zawadi ya huzuni kwenye familia yako.
Muhashamu Baba Askofu atakua jimboni katulia tulii anasubiria kuombea marehemu 🐒
 
Back
Top Bottom