residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,348
- 15,205
Yaani watu wanaitwa kanisani, yeye anasema kuhusu kuchoma moto na kufanya fujo!Siku hizi umekuwa mtabiri wa nyota.
Yaani watu wanaitwa kanisani, yeye anasema kuhusu kuchoma moto na kufanya fujo!Siku hizi umekuwa mtabiri wa nyota.
Hakuna Mhaya halisi anaweza kupenda shali,chuki na vurugu. Wenzetu wa Rwanda ilianza hivi hivi... huyu askofu ajui fika kua ata hapo anapo tamkia maneno hayo ni kwasababu kuna amani inayolindwa na dola ambayo anataka kuifarakanisha na wananchi. Amani ikitoweka ata ibada aziwezi kufanyika...wahumini wakumbusheni hao watu wenu.Wakatoliki hatuna, bunduki, hatuna, mizinga, hatuna mabomu ya machozi, silaha yetu pekee ni sala, hata kama mtakutana na mabomu kama ya tarehe 29/10 njooni kanisani tusali, kwa Mungu hakuna linaloshindikana.
View attachment 3700491
Watu wakienda kanisani huwa wanafanya vurugu!!??Mkileta vurugu tu , mtatandikwa kweli , fanyeni ibada zenu kwa adabu .
Why missionaries are regarded as agents of Colonialism?Kama familia yako haina miongozo na mafundisho ya dini acha wenzako wakasali.
PhD inaondoa ujinga?Wewe huwezi kumuita mtu mwenye PhD mjinga.
Mjinga wewe.
Naona huelewi ? Umeambiwa ukifanya vurugu ni kipigo, ibada mbona kila jumapili wanaenda ..Mkileta vurugu ni kipigo , fanyeni yenu mmalize.Watu wakienda kanisani huwa wanafanya vurugu!!??
Wewe ukienda msikitini huwa unafanya vurugu!!??
Vilaza huvuka mto kabla ya kuufikia "negatively".
Wenye akili huvuka mto kabla ya kuufikia " positively".
Wewe ni kipaza mkubwa.
Astaghafirurah!!!
Hapa Lindi kuna mtoto wa kidato cha tatu kakutwa na simu kaiweka kwenye soksi!Huyo wa kwako. Wa kwangu haruhusiwi kuwemo mitandaoni hadi amalize Kidato cha sita. Wazazi tunaohimiza na kusisitiza maadili bado tupo.
That is your thoughts. Discuss in less than 200 words.Why missionaries are regarded as agents of Colonialism?
Why African missionaries are regarded as agents of Neo-colonialism?
How Roman Catholic church engaged and support Rwandese genocide?
How Roman Catholic Church engaged in enslavement of Africans?
WESTERN RELIGION IS THERE TO DEVIDE AND RULE AFRICANS.
Ahh,najua hapo nimegonga utosiThat is your thoughts. Discuss in less than 200 words.